Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kweli kama unataka kazi nzuri, inabidi kwenda kwenye gereji kubwa. Ila na wao lazima kuwasimamia. Ukiona wanakufukuza usione wanachofanya ujue kuna mizinguo hapo.Mkuu shida ilianzia hapo.nami najua kuna vyumba maalum. Jamaa aliyemleta namheshimu sana alisisitiza gari itatoka kama ndo imetoka UK leo.nilimwambia hbr za unyevu,jua ,mvua pale home maana ni nje.akajibu jamaa anayafahamu yote.yaani mashaka naye yalianza mapema sana....
Advance humfanya mwenye mali kuwa responsible na mali yake, kwa uzoefu nilionao kwenye hii fani ya ufundi mteja ni lazima atoe 75% kabla kazi yake haijamalizika otherwise niwe na uhakika wa financial stability yake. Mteja analeta kazi anakuambia anaitaka ndani ya siku 2 alafu anapotea mwaka mzima! Ajatoa chochote na wewe umeingiza mtaji wako kwenye kazi yake!Ndo maana nataka kupata fundi au garage ya namna hiyo mkuu.ambayo haina maneno maneno.
Advance humfanya mwenye mali kuwa responsible na mali yake, kwa uzoefu nilionao kwenye hii fani ya ufundi mteja ni lazima atoe 75% kabla kazi yake haijamalizika otherwise niwe na uhakika wa financial stability yake. Mteja analeta kazi anakuambia anaitaka ndani ya siku 2 alafu anapotea mwaka mzima! Ajatoa chochote na wewe umeingiza mtaji wako kwenye kazi yake!
Uyo fundi aliekubali kufanyia kazi kwako nae ni mjinga au njaa zinamsumbua, mfano akimaliza kazi ukaanza kumsumbua kulipa atawezaje kukuforce umlipe kwa wakati?
Zipo na ndo nazitaka hizo. Basi tu nlishawishika nikiambiwa jamaa yupo vizuri. Fundi gani hata usafiri hana?inakatisha tamaa sana.
Advance ya nini? Advance ni mtaji wake. We lini ulienda hotelini ukalipa kabla ya huduma ili akanunue mchele na nyama?huo ni uswahili.
No retreat no surrender,
Nani kakuambia kumiliki gari ndio maisha.wanaume wa dar mnashida sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamii forum kila mtu anajinadi anamaisha mazuri na niboss.acha uncle magu anyooshe watu.kulalamika hakuishi.toa pesa ufanyiwe kazi sio kulialia kama wanawake Malaya anapanga bei ya kujiuzaNa nyie wanawake wa mikoani mngetulia basi. Maana mna kelele nyingi sana akina dada nyie. Kwa nini usiache wanaume tunajadiliana na kupeana uzoefu hapa?please kaa jikoni dada.acha wanaume tujadiliane kwa hoja.
Nimekueleza kitu nauzoefu nacho, gereji kwangu kuna basi ina siku 870, ililetwa kwa ajili ya kubadili rangi na makubaliano muda wa kazi ulikuwa 4 weeks ila adi leo lipoYaani umpelekee fundi gari la mil zaid ya 80 apake rangi halafu ukimbie mwaka mzima umwachie?huna akili.utakuwa ni punguani sana.
Kila kitu kinaenda kwa maandishi unakaataaje kulipa?na what if nikampa hiyo 75 percent halafu akaharibu gari langu? Asifanye kama tulivyokubaliana?
Ukienda kunyoa si unanyolewa kwanza then unalipa?au yule si fundi.kwa nini hasemi umpe advance kwanza anaweza akakunyoa then ukakimbia au ukagoma kulipa.
Nani kakuambia kumiliki gari ndio maisha.wanaume wa dar mnashida sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
KwemaZipo na ndo nazitaka hizo. Basi tu nlishawishika nikiambiwa jamaa yupo vizuri. Fundi gani hata usafiri hana?inakatisha tamaa sana.
Mkuu big up na hongera sana. Huyo achana naye kabisa. Mafundi wengi ni wachawi, wanadhani ghiribu inaweza saidia. Kwa sababu akiharibu ukimwambia alipe hawezi na ataishia kukuambia rangi inafanana. Pia mafundi wetu hapa Dar ni wezi, nenda DT Dobie au Royal Motors. Achana na wahuni mkuu.Huyu ni mtaalam kupiga rangi. Watu kadhaa walinielekeza kwake.gari ambayo inatakiwa kupigwa rangi ni kubwa. Actually ni katika tu kubadilisha rangi iendane na gari nyingine ilizozikuta.
Gari alinambia siku 4 itakuwa tayari.maandilizi n.k.haikuwa na pa kunyooshwa.akanambia atakuja kupigia hapa hapa gari ilipo.
Ameiandaa kwa kutumia vijana wake mara kadhaa. leo ni siku ya 6 ndo kaanza kupiga rangi.tuliandikishana 4 days.akataka nimpe advance. Nlimkatalia sana.maana ni sawa na mtu kutaka fungua duka atuuzie vitu but before sisi wateja tumpe pesa ya kuanzia mtaji.
Wife akatumia busara akasema basi angalau katika tsh 1,800,000. Nimpe hata 800,000. Nikampa 200,000 anunue materials n.k but aongezee za kwake.mimi nlitaka anikabidhi gari nimkabidhi pesa.
Leo siku ya 6 nmerud ameanza kupulizia rangi.kilichonikatisha tamaa ni ktk uchanganyaji wake. Sioni kama anazingatia vipimo vya thinner na kimiminika kingine sikifahamu na rangi yenyewe.anamimina tu kuchanganya anapuliza.
Namuuliza anajuaje ratio yake.anajibu kirahisi."tulia tu boss utaona mwenyewe kitu kinatoka kama ndo kimetoka leo kwa mwingereza"
Nimemwambia aachane na gari yangu aondoke maana naona anafanya masikhara.nlitegemea angekuwa na mchanganyiko unaofuata vipimo.
Lets say.
Rangi Lita moja
Thinner nusu lita
Na xxxxx robo au nusu lita.
Haipo hivyo.anachukua tu anamimina na kule anachukua anamimina anaweka kwenye kopo anapuliza.
WASIWASI WANGU.
inawezekana kusiwe na uwiano sahihi wa rangi au uimara wa rangi sababu mchanganyaji anachanganya kwa macho tu.
Pia alishavunja makubaliano /mkataba.nimemwambia aache gari abebe vyake tuagane kwa amani.hajaamini mpaka nlipoonesha sitanii.
Jambo hili ni tatizo kwa aina nyingi za mafundi tz.hawajali kabisa profession yao.ujanja ujanja tu mwingi wakituibia in kind.binafsi napinga sana jambo hilo.
Natafuta garage nzuri ambayo wanapiga rangi kitaalamu na bei zao ni nzuri standard siyo za kuanza kuimbishana.ila la muhimu wakisema gari uje kuchukue jumatano saa tano nikienda nikalipe nikague gari nichukue.
Hbr za msiba na ugonjwa mimi hazinihusu.
Mkuu big up na hongera sana. Huyo achana naye kabisa. Mafundi wengi ni wachawi, wanadhani ghiribu inaweza saidia. Kwa sababu akiharibu ukimwambia alipe hawezi na ataishia kukuambia rangi inafanana. Pia mafundi wetu hapa Dar ni wezi, nenda DT Dobie au Royal Motors. Achana na wahuni mkuu.
Through experience yangu,mafundi wenzetu wa kibongo ni wasanii na matapeli,ukimpa hela kamili Kwa uaminifu utajuta usumbufu wake😂😂😂.Ni bora aiseee.... Mimi ufundi wa kiswahili sipendi. Material kanunue kwa pesa yako. Mimi nakupa gari unakamilisha unanikabidhi nakukabidhi pesa.