Hapa ndipo utagombana na unaweza Kuua mafundi wa Kitanzania

Kwa kweli kama unataka kazi nzuri, inabidi kwenda kwenye gereji kubwa. Ila na wao lazima kuwasimamia. Ukiona wanakufukuza usione wanachofanya ujue kuna mizinguo hapo.

Siku hizi kuna jamaa wanatabia ya kihuni sana. Unaomba kupakiwa rangi gari zima, ila wanachofanya kurepair na kupaka rangi sehemu zenye michubuko au mibonyeo then wanafanya buffing tu. Ukifika unaona gari linawaka kumbe magumashi.
 
Ndo maana nataka kupata fundi au garage ya namna hiyo mkuu.ambayo haina maneno maneno.
Advance humfanya mwenye mali kuwa responsible na mali yake, kwa uzoefu nilionao kwenye hii fani ya ufundi mteja ni lazima atoe 75% kabla kazi yake haijamalizika otherwise niwe na uhakika wa financial stability yake. Mteja analeta kazi anakuambia anaitaka ndani ya siku 2 alafu anapotea mwaka mzima! Ajatoa chochote na wewe umeingiza mtaji wako kwenye kazi yake!

Uyo fundi aliekubali kufanyia kazi kwako nae ni mjinga au njaa zinamsumbua, mfano akimaliza kazi ukaanza kumsumbua kulipa atawezaje kukuforce umlipe kwa wakati?
 
Yaani umpelekee fundi gari la mil zaid ya 80 apake rangi halafu ukimbie mwaka mzima umwachie?huna akili.utakuwa ni punguani sana.

Kila kitu kinaenda kwa maandishi unakaataaje kulipa?na what if nikampa hiyo 75 percent halafu akaharibu gari langu? Asifanye kama tulivyokubaliana?

Ukienda kunyoa si unanyolewa kwanza then unalipa?au yule si fundi.kwa nini hasemi umpe advance kwanza anaweza akakunyoa then ukakimbia au ukagoma kulipa.


 
Na nyie wanawake wa mikoani mngetulia basi. Maana mna kelele nyingi sana akina dada nyie. Kwa nini usiache wanaume tunajadiliana na kupeana uzoefu hapa?please kaa jikoni dada.acha wanaume tujadiliane kwa hoja.
Jamii forum kila mtu anajinadi anamaisha mazuri na niboss.acha uncle magu anyooshe watu.kulalamika hakuishi.toa pesa ufanyiwe kazi sio kulialia kama wanawake Malaya anapanga bei ya kujiuza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekueleza kitu nauzoefu nacho, gereji kwangu kuna basi ina siku 870, ililetwa kwa ajili ya kubadili rangi na makubaliano muda wa kazi ulikuwa 4 weeks ila adi leo lipo
 
we ni mtoto wa mama hio gari ni ya mama yako..ulijadiliana na mama sio mke wako..umiliki gari mpaka ufikie hatua ya kupiga rangi ..useme unampa mtajii dhuu....hata pancha unatoa advance buku 2
 
Mkuu big up na hongera sana. Huyo achana naye kabisa. Mafundi wengi ni wachawi, wanadhani ghiribu inaweza saidia. Kwa sababu akiharibu ukimwambia alipe hawezi na ataishia kukuambia rangi inafanana. Pia mafundi wetu hapa Dar ni wezi, nenda DT Dobie au Royal Motors. Achana na wahuni mkuu.
 
Wewe ni mwelewa sana. πŸ™πŸ™πŸ™

 
Ni bora aiseee.... Mimi ufundi wa kiswahili sipendi. Material kanunue kwa pesa yako. Mimi nakupa gari unakamilisha unanikabidhi nakukabidhi pesa.
Through experience yangu,mafundi wenzetu wa kibongo ni wasanii na matapeli,ukimpa hela kamili Kwa uaminifu utajuta usumbufu wakeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
Kwa uchanganyaji wake wa rangi tu hata mm nisingemwelewa kabisa,lakini huyo mleta mada inawezekana ana matatizo yake binafsi ambayo hayaoni hapa,hiyo hela anayosema mchina anakupigia gari Zima Kwa standard Bora,so why amejiingiza huko or otherwise awe amedanganya Bei aliyoandika hapa.The point ya Ku note pia kwake ni kwamba mchina Bila full amount no service na wakikupigia wanakupa guarantee ya rangi na I think two years-ikipauka au kuwa na changamoto wanapiga tena Kwa gharama zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…