Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Watu weusi tuna tatizo kubwa la inferiority complex. Tukifuatiwa na waarabu.wazungu wanajijenga au kujengwa na hali ya kujiamini sana.
Weusi tumebaki kuanzisha nyuzi na kuandika vitabu mafarao walikuwa weusi.haya walikuwa weusi.so what?
Hebu niambie na maisha yako hayo mazuri au ya kuunga unga ukiamka kesho unakuja kuhakikishiwa kabisa.YESU ALIKUWA NI MJOMBA WAKO.YAANI NI UKOO WENU KABISA.
INAKUSAIDIA NINI? sasa hayo ya kuhangaika kusema Yesu alikuwa mweusi mitume na manabii walikuwa weusi.SO WHAT?
AFRIKA ilikuwa na teknolojia ya juu zamani. so what? Kwa nini leo hatuhangaiki kupambana na maisha tunahangaika kutafuta asili miaka mingi mbele?
Kama ukigundua Waisraeli Original walikuwa weusi na Wamisri Original walikuwa weusi.HALAFU? Lets say ni kweli walikuwa weusi na pua hizi hizi bapa na lips za midomo nene. Na adamu na eva pia walikuwa weusi. Haya sasa tunafanyeje?
Tuhangaikeni kuboresha maisha yetu ndugu zanguni mambo ya kijinga yasitupotezee muda.hayana maana kabisa.hayajatusaidia mpaka sasa. Tugundue mambo ya kuleta ahueni katika maisha ya waafrika. Kusema Yesu alikuwa mweusi hakutusaidii.
Mtu wa kwanza kuumbwa alikuwa mweusi....then kwa sasa ndo mtu wa mwisho kwa maendeleo duniani.imetusaidia nini?waafrika mpaka tunatafuta sifa za kijinga.kuwa tuna Uume mkubwa kuliko wazungu.na papuchi za wanawake wetu ni tamu kuliko za wazungu. Haya ni hivyo.imetusaidia nini?😂😂😂😂 Tutafute namna ya kujikwamua kiuchumi,kijamii na kisiasa.
Inaudhi miaka na miaka tunalalamika umaskini wetu ulisababishwa na Ukoloni. Sasa si tuseme mataifa dhaifu yalikuwa colonized?so sisi ni dhaifu. Wazungu waliokuja kututawala na waarabu hawakufika hata asilimia 30 ya idadi yetu.
Miaka zaidi ya 60 baadaye tunatumia vitu vile vile vya mzungu au mtu nweupe. Sisi mahodari wa kulalamika na kuchawiana tu. Tunauzana na kuuza mali zetu kwa hao hao weupe. Miaka zaidi ya 60 baadaye. Tunaomba misaada kwao.
Ila ni mahodari kusema pyramids zilijengwa na watu weusi. Binadamu wa kale alikuwa mweusi,Yesu alikuwa mweusi,sijui pharaos walikuwa weusi. Haya leo hii Dunia nzima ikubaliane kuwa hata Mungu mwenyewe ni mweusi. Tunafaidika na nini?
Yaani tunaacha kupambana kiuchumi,kisayansi n.k kujitambua kimatendo na si kwa dhana ili tusonge mbele tunakaza na mambo madogo madogo sana. Bado tutabaki kuwalaumu weupe...wao wanasonga mbele sisi tunasonga Ugali.