Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
Sikusoma username yako. Kumbe ni mdada. Samahani binti mzuri. Ngoja nikuweke sawa kwa jambo moja.
Nimekunukuu kwa sababu umeandika kauli yenye kudhihaki watumwa; kimsingi mababu na mabibi zetu. Hujui madhila makubwa waliyopitia na kuteseka. Tujadili upumbavu wetu kama waafrika bila kuwadhihaki watumwa ndugu zetu.
Una hoja kimsingi juu ya namna waafrika tulivyo wapuuzi mpaka sasa. Nami naudhika na kuchukizwa na ujingaunjinga unaoendelea kwenye jamiii zetu waafrika weusi. Usingetia neno juu ya kuwadhihaki watumwa (mababu zetu) wala nisingejisumbua kukunukuu. Nadhani sasa umeelewa vema!
Brother unajikanyaga....haya pita zako nenda kwenye mada ngumu za kupeleleza space.asanteSikusoma username yako. Kumbe ni mdada. Samahani binti mzuri. Ngoja nikuweke sawa kwa jambo moja.