Barakate I have
JF-Expert Member
- Nov 16, 2021
- 736
- 664
Haukuepo utumwa wa musa.Kwa hiyo sisi ndio tulikuwa utumwani Kule Misri?na Musa ndio alikuja kutuokoa?[emoji848][emoji848]hebu fafanua
Utumwa ni wa mababu zetu tu na sisi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haukuepo utumwa wa musa.Kwa hiyo sisi ndio tulikuwa utumwani Kule Misri?na Musa ndio alikuja kutuokoa?[emoji848][emoji848]hebu fafanua
Kuna mtu nimemuuliza maana kaandika utopolo.Haukuepo utumwa wa musa.
Utumwa ni wa mababu zetu tu na sisi.
Umegonga mle mle brother.Watu weusi tuna tatizo kubwa la inferiority complex. Tukifuatiwa na waarabu.wazungu wanajijenga au kujengwa na hali ya kujiamini sana.
Weusi tumebaki kuanzisha nyuzi na kuandika vitabu mafarao walikuwa weusi.haya walikuwa weusi.so what?
Hebu niambie na maisha yako hayo mazuri au ya kuunga unga ukiamka kesho unakuja kuhakikishiwa kabisa.YESU ALIKUWA NI MJOMBA WAKO.YAANI NI UKOO WENU KABISA.
INAKUSAIDIA NINI? sasa hayo ya kuhangaika kusema Yesu alikuwa mweusi mitume na manabii walikuwa weusi.SO WHAT?
AFRIKA ilikuwa na teknolojia ya juu zamani. so what? Kwa nini leo hatuhangaiki kupambana na maisha tunahangaika kutafuta asili miaka mingi mbele?
Kama ukigundua Waisraeli Original walikuwa weusi na Wamisri Original walikuwa weusi.HALAFU? Lets say ni kweli walikuwa weusi na pua hizi hizi bapa na lips za midomo nene. Na adamu na eva pia walikuwa weusi. Haya sasa tunafanyeje?
Tuhangaikeni kuboresha maisha yetu ndugu zanguni mambo ya kijinga yasitupotezee muda.hayana maana kabisa.hayajatusaidia mpaka sasa. Tugundue mambo ya kuleta ahueni katika maisha ya waafrika. Kusema Yesu alikuwa mweusi hakutusaidii.
Mtu wa kwanza kuumbwa alikuwa mweusi....then kwa sasa ndo mtu wa mwisho kwa maendeleo duniani.imetusaidia nini?waafrika mpaka tunatafuta sifa za kijinga.kuwa tuna Uume mkubwa kuliko wazungu.na papuchi za wanawake wetu ni tamu kuliko za wazungu. Haya ni hivyo.imetusaidia nini?😂😂😂😂 Tutafute namna ya kujikwamua kiuchumi,kijamii na kisiasa.
Yaani una akili sana tena lazima mpaka hapo weye ni Myahudi !! ...ndo sisi haswaaaa!! kwa mateso yale?? wengine wenye Mali, pesa na madaraka walisepa mapema hata kabla ya Musa! wakaelekea Kaskazini na wengine Kusini, NKKwa hiyo sisi ndio tulikuwa utumwani Kule Misri?na Musa ndio alikuja kutuokoa?🤔🤔hebu fafanua
Kama hapa mkuuYaani una akili sana tena lazima mpaka hapo weye ni Myahudi !! ...ndo sisi haswaaaa!! kwa mateso yale?? wengine wenye Mali, pesa na madaraka walisepa mapema hata kabla ya Musa! wakaelekea Kaskazini na wengine Kusini, NK
Si unakumbuka MUsa alikimbilia Ethiopia ya Leo, akakutana na Mabinti wa Yethro-- huyu alikuwa mweusi tii!! wakamwambia Bababyao tumekutana na Mmisri!! kisimani!! akawaambia wamfuate!! ndo mwanzo wa yeye kuishi Ethiopia!
hapo ni kielelezo kuwa kuna wayahudi wengi walikimbia km Musa ili kukwepa Mateso ya Farao tukiwemo sisi Wabantu! (wayahudi original)..na mambo yalipo kuwa Magumu sana ndani ya israel wayahudi wengi wengi waliikwepa Misri! kuelekea kusini zaidi!
kwa sababu walipo fika tu Misri kwa makundi km wakimbizi walikuwa wana wafukuzia kusini zaidi! wanawasema wale watumwa wayahudi wamerudi!! wakawakataa! wao wakazidi kwenda kusini Zaidi ikiwemo ethiopia,
kumbuka Musa / Ibrahimu alimuoa Mu ethiopia kwa hiyo wale walikuwa ndg wakawapokea na wengine wakazidi kwenda kusini zaidi na zaidi ndo Wazulu hao[Wangoni wangoni wa leo)!! wakhosa nk!
hayo makabila ya kusini utashangaa Lugha yao km Kihaya, kiswahili, kimakonde yaani ni sisi kabisaaaaa! yaani kabila zooote za kibongo hapo! kwa mfano tuliza mwana! wasotho wanaita ''tulizaa ng'wana!...Mamba wanaita ''Kwena'' na wajita wanaita ''Ng'wena''
kifupi hupotei ukijifunza ni dakika sifuri tu unaongea mwanzo mwisho zaidi ya wao!...sasa weye fikiria tu sisi weusi tumewakosea nini rangi nyeupe yaani hatuna madhara kabisaa lkn wanatuchukia balaaa!! wahindi wako hapo Bongo! upanga wamejaa!
Lkn Lazima tu hawatupendi kiviile (chwaili chicchi)!...ndo km vile Mungu alivo tamka Naweka uadui kati ya uzazi wako (Eva) na kizazi cha nyoka (Wazungu/wahindi -Nefilim)!
Ubarikiwe Myahudi original!Kama hapa mkuu
MWANZO 13:1.
[emoji1787][emoji1787] nikweli , vice versaNi ngumu Sana kwetu kwaakuwa wenye kujua ukwel wa mambo ndio wanao shawishiwa kupindisha ukweel na uharisia...
Madaktari na maprofesa ndio Wana ishia kwenye siasa na ufisadi...
Viongoz hawana maono, hakuna nguvu, hakuna sapoti ya kuzifanya setka na taaluma za watu kukua,
Mtu mwenye kipaaji cha kuimba anaenda kuvua samaki na mvuvi anakuja kuimba...
Kwa naamna hii huwezi piga hatua
Watu weupe walikuwa wanashirikiana na watu weusi kukamata watu weusi, hivyo wazee wetu baadhi walikuwa snitch hatari.Tena hapa ndio huwa wananifikirisha Sana nikiangalia picha za misafara ya watumwa,yaani Babu zetu mashababi kabisa Kama thelathini wamekamatwa na waarabu wawil legelege,Sasa najiuliza hivi walikuwa sawa kweli?
Ni kweli sisi watu weusi tuna matatizo sana.unakuta mtu kavumbua bunduki anakamatwa na kufungwa.ila ni mahodari wa kusema Yesu alikuwa mweusi au mafarao.Tunatakiwa kuombewa sana.Watu weusi tuna tatizo kubwa la inferiority complex. Tukifuatiwa na waarabu.wazungu wanajijenga au kujengwa na hali ya kujiamini sana.
Weusi tumebaki kuanzisha nyuzi na kuandika vitabu mafarao walikuwa weusi.haya walikuwa weusi.so what?
Hebu niambie na maisha yako hayo mazuri au ya kuunga unga ukiamka kesho unakuja kuhakikishiwa kabisa.YESU ALIKUWA NI MJOMBA WAKO.YAANI NI UKOO WENU KABISA.
INAKUSAIDIA NINI? sasa hayo ya kuhangaika kusema Yesu alikuwa mweusi mitume na manabii walikuwa weusi.SO WHAT?
AFRIKA ilikuwa na teknolojia ya juu zamani. so what? Kwa nini leo hatuhangaiki kupambana na maisha tunahangaika kutafuta asili miaka mingi mbele?
Kama ukigundua Waisraeli Original walikuwa weusi na Wamisri Original walikuwa weusi.HALAFU? Lets say ni kweli walikuwa weusi na pua hizi hizi bapa na lips za midomo nene. Na adamu na eva pia walikuwa weusi. Haya sasa tunafanyeje?
Tuhangaikeni kuboresha maisha yetu ndugu zanguni mambo ya kijinga yasitupotezee muda.hayana maana kabisa.hayajatusaidia mpaka sasa. Tugundue mambo ya kuleta ahueni katika maisha ya waafrika. Kusema Yesu alikuwa mweusi hakutusaidii.
Mtu wa kwanza kuumbwa alikuwa mweusi....then kwa sasa ndo mtu wa mwisho kwa maendeleo duniani.imetusaidia nini?waafrika mpaka tunatafuta sifa za kijinga.kuwa tuna Uume mkubwa kuliko wazungu.na papuchi za wanawake wetu ni tamu kuliko za wazungu. Haya ni hivyo.imetusaidia nini?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Tutafute namna ya kujikwamua kiuchumi,kijamii na kisiasa.
Hahahaha jomba unajikweza utadhani ni mtu mwenye akili kumbe hopeless.Sijui hata kama umenielewa little kid? Sipo kwenye mada mliyoianzisha. Nime-chip in kukueleza in few paragraph kuhusu ukweli juu ya utumwa ambao vijana wa kileo wengi wenu hamuujui. Siwezi kujadili mada yenu. It is too cheap for me. Nimesoma na kupita zangu. Nilichokujibu hakina uhusiano na mada yenu ambayo kimsingi imejikita kwenye 'intelligence' kati ya waafrika na the rest of races.
Watu weusi kianzia Wazee wetu ni watu wa HOVYO na jamiii dhaifu kuliko zote duniani.Tena hapa ndio huwa wananifikirisha Sana nikiangalia picha za misafara ya watumwa,yaani Babu zetu mashababi kabisa Kama thelathini wamekamatwa na waarabu wawil legelege,Sasa najiuliza hivi walikuwa sawa kweli?
OkHahahaha jomba unajikweza utadhani ni mtu mwenye akili kumbe hopeless.
Mkuu; Uliyoandika ni sahihi kabisa 100%. Sasa Ifike mahali tukubali kwamba Ugonjwa huingia polepole hadi pale utakapougundua na kuanza matibabu.Vivyo hivyo na utokaji wake au kupona kwake ni kwa polepole i.e. huchukua muda mrefu. Kwa mantiki hiyo, Hizo Changamoto ulizobainisha hapo juu zitatuchukua muda mrefu sana kuzitatua. Huenda kizazi kilichopo kwa sasa kitapita huku kukiwa na mafanikio kidogo. Angalia kwa mfano, Zamani wasomi wetu walibembelezewa kazi lakini sasa imebadilika na kuwa ni Wasomi kuomba kazi na pengine bila mafanikio. Kwa hiyo mdogo-mdogo tutafika japo kwa kuchoka sana. Tukitaka twende mwendo kasi ni pale tutakapokubali kwa makusudi kumeza kidonge kichungu - "Survival of the Fittest".Watu weusi tuna tatizo kubwa la inferiority complex. Tukifuatiwa na waarabu.wazungu wanajijenga au kujengwa na hali ya kujiamini sana.
Weusi tumebaki kuanzisha nyuzi na kuandika vitabu mafarao walikuwa weusi.haya walikuwa weusi.so what?
Hebu niambie na maisha yako hayo mazuri au ya kuunga unga ukiamka kesho unakuja kuhakikishiwa kabisa.YESU ALIKUWA NI MJOMBA WAKO.YAANI NI UKOO WENU KABISA.
INAKUSAIDIA NINI? sasa hayo ya kuhangaika kusema Yesu alikuwa mweusi mitume na manabii walikuwa weusi.SO WHAT?
AFRIKA ilikuwa na teknolojia ya juu zamani. so what? Kwa nini leo hatuhangaiki kupambana na maisha tunahangaika kutafuta asili miaka mingi mbele?
Kama ukigundua Waisraeli Original walikuwa weusi na Wamisri Original walikuwa weusi.HALAFU? Lets say ni kweli walikuwa weusi na pua hizi hizi bapa na lips za midomo nene. Na adamu na eva pia walikuwa weusi. Haya sasa tunafanyeje?
Tuhangaikeni kuboresha maisha yetu ndugu zanguni mambo ya kijinga yasitupotezee muda.hayana maana kabisa.hayajatusaidia mpaka sasa. Tugundue mambo ya kuleta ahueni katika maisha ya waafrika. Kusema Yesu alikuwa mweusi hakutusaidii.
Mtu wa kwanza kuumbwa alikuwa mweusi....then kwa sasa ndo mtu wa mwisho kwa maendeleo duniani.imetusaidia nini?waafrika mpaka tunatafuta sifa za kijinga.kuwa tuna Uume mkubwa kuliko wazungu.na papuchi za wanawake wetu ni tamu kuliko za wazungu. Haya ni hivyo.imetusaidia nini?😂😂😂😂 Tutafute namna ya kujikwamua kiuchumi,kijamii na kisiasa.
Ule udini ndio uli sababisha[emoji16][emoji16]Watu weupe walikuwa wanashirikiana na watu weusi kukamata watu weusi, hivyo wazee wetu baadhi walikuwa snitch hatari.
Watu weupe walijua namna ya kuwa laghai.
Hii akili mpaka leo tunayo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16]Ni kweli sisi watu weusi tuna matatizo sana.unakuta mtu kavumbua bunduki anakamatwa na kufungwa.ila ni mahodari wa kusema Yesu alikuwa mweusi au mafarao.Tunatakiwa kuombewa sana.
Akili mbovu kabisaWatu weupe walikuwa wanashirikiana na watu weusi kukamata watu weusi, hivyo wazee wetu baadhi walikuwa snitch hatari.
Watu weupe walijua namna ya kuwa laghai.
Hii akili mpaka leo tunayo.
Historia ya kuanzia muda gani??Faida za kuifahamu historia yako no kuweza kukupa mwanganza juu ya NGUVU, na MADHAIFU uliyonayo.
NGUVU hukupa uwezo wa kujiamini na MADHAIFU hukupa uwezo wa kujikosoa.
Sisi Waafrika mahitaji yetu ni kujua tulipoteleza na sababu za kuteleza ambazo hakuna njia nyingine ya kuyajua hayo isipokua kwa kuijua historia yetu.