Hapa ndipo utatupenda sisi watu weusi

Hapa ndipo utatupenda sisi watu weusi

Umaskini wa kwenu siyo wetu sote. Migari, mighorofa yoote hii, mabarabara, ardhi yooote hii bado unalia wewe ni maskini?
Sema Mungu kakupiga kofi tu.

Unajivunia migari na mighorofa kwamba ndo utajiri, hayo ambayo unapiga nayo picha tu na si mmiliki... ndo hizi faraja mtoa mada anauliza SO WHAT..!!

Jikaze mlamu.
 
Unajivunia migari na mighorofa kwamba ndo utajiri, hayo ambayo unapiga nayo picha tu na si mmiliki... ndo hizi faraja mtoa mada anauliza SO WHAT..!!

Jikaze mlamu.
Kupiga picha tu pia ni jambo la kumuumiza mtu? Akimiliki ninayelandana naye sura mnamuita mweusi ni faraja kubwa mno! Isiyo kifani. Yaani sisi hao! Km nyerere na UNO!

Akimiliki mzungu thubutu! Hukanyagi pale hata hutalijua ghorofa lake
 
Naunga mkono hoja. Waafrika tumerogwa na alieturoga anaishi geto moja na shetani
 
English ni tatizo au! Nini maana ya people of colour? Unaniimbisha wimbo usiokuwa na chorus?
Huo weusi sababu kakupachika mzungu unafurahia ka zuzu!

Hilo neno ‘people of colour’ mbona umetumia lugha za mzungu, kikwenu mnaitaje hiyo.?
 
Hilo neno ‘people of colour’ mbona umetumia lugha za mzungu, kikwenu mnaitaje hiyo.?
Kikwetu tunaita "Bhuganja Bunu" nimekuandikia lugha ya kikoloni ili uelewe kuwa adui yetu hawezi niteta! Wala kunifanyia hila tena Namjua inn and out! Na imeenea kwa wengi ambao nitawaelimisha.
 
Kikwetu tunaita "Bhuganja Bunu" nimekuandikia lugha ya kikoloni ili uelewe kuwa adui yetu hawezi niteta! Wala kunifanyia hila tena Namjua inn and out! Na imeenea kwa wengi ambao nitawaelimisha.

Hapo bado umetohoa lugha yake tu huyo unayemuita adui yenu, bado uko mule mule tu.
 
ni historia.historiabya ukweli ya mtu mweusi imepindishwa ndo maana wanaharakati wengi wanajitahidi kuweka wazi hilo.tukija kwenye hali ya sas ni kweli Afrika tumekosa viongozi.tatizo kubwa la Africa ni uongozi
brother can you prove that Africa history is altered. and how did you know that?
 
Inn and out? Inn 😳😳😳🤣🤣🤣

Kikwetu tunaita "Bhuganja Bunu" nimekuandikia lugha ya kikoloni ili uelewe kuwa adui yetu hawezi niteta! Wala kunifanyia hila tena Namjua inn and out! Na imeenea kwa wengi ambao nitawaelimisha.
 
Watu weusi tuna tatizo kubwa la inferiority complex. Tukifuatiwa na waarabu.wazungu wanajijenga au kujengwa na hali ya kujiamini sana.

Weusi tumebaki kuanzisha nyuzi na kuandika vitabu mafarao walikuwa weusi.haya walikuwa weusi.so what?

Hebu niambie na maisha yako hayo mazuri au ya kuunga unga ukiamka kesho unakuja kuhakikishiwa kabisa.YESU ALIKUWA NI MJOMBA WAKO.YAANI NI UKOO WENU KABISA.

INAKUSAIDIA NINI? sasa hayo ya kuhangaika kusema Yesu alikuwa mweusi mitume na manabii walikuwa weusi.SO WHAT?

AFRIKA ilikuwa na teknolojia ya juu zamani. so what? Kwa nini leo hatuhangaiki kupambana na maisha tunahangaika kutafuta asili miaka mingi mbele?

Kama ukigundua Waisraeli Original walikuwa weusi na Wamisri Original walikuwa weusi.HALAFU? Lets say ni kweli walikuwa weusi na pua hizi hizi bapa na lips za midomo nene. Na adamu na eva pia walikuwa weusi. Haya sasa tunafanyeje?

Tuhangaikeni kuboresha maisha yetu ndugu zanguni mambo ya kijinga yasitupotezee muda.hayana maana kabisa.hayajatusaidia mpaka sasa. Tugundue mambo ya kuleta ahueni katika maisha ya waafrika. Kusema Yesu alikuwa mweusi hakutusaidii.

Mtu wa kwanza kuumbwa alikuwa mweusi....then kwa sasa ndo mtu wa mwisho kwa maendeleo duniani.imetusaidia nini?waafrika mpaka tunatafuta sifa za kijinga.kuwa tuna Uume mkubwa kuliko wazungu.na papuchi za wanawake wetu ni tamu kuliko za wazungu. Haya ni hivyo.imetusaidia nini?😂😂😂😂 Tutafute namna ya kujikwamua kiuchumi,kijamii na kisiasa.
Ni kweli kabisa hata mimi najiuliza same questions.
 
Cc: Sky Eclat cocochanel
😂😂😂👍✌✌
 
Kuna watu mpaka sasa wanawaza maendeleo yataletwa na wazungu swala la kwanza ni kujitambua, kutengeneza mfumo wa elimu unaoendana na elimu yetu
 
Mtuacheni wayahudi original turinge, Israel ndiyo kwetu haswa. so what? Haikuhusu.
Hkn mtu mweusi Duniani labda kwenu. Ni kweli nyie weusi Mesopotamia siyo kweenu! Wazungu walitaka tuwe kundi moja na nyinyi weusi tukapinga, sasa mnatu mind.
Wayahudi sisi ni dark brown melanin.east africans mtuheshimu. Au people of colour. Ukitaka watu warefu wa rangirangi. Wateule wa Mungu na sisi ndiyo wazuri Duniani kote.
Inferiority complex iliyosemw bado inaendelea. Huyu mwamba bado hajiamini katika njia ya kujinasua kutoka inferiority complex
 
Hivi waafrika (wachawi) tulishindwa nini kuruka na ungo mpaka ulaya enzi zile kuchungulia maendeleo yao ili na sisi tuje tuendeleze miji yetu na kusonga mbele tusiachwe nyuma. Japo nasikia tuna mji wetu mzuri huko Gamboshi, Brussels haioni ndani.

Sijawahi Kuwaamini hawa watu, maana kama kweli wachawi wangekuwa na uwezo huo tungewazuia wazungu wasitutawale!

Lakini angalia vita ya majimaji tulivyogaragazwa?!

Mpaka Leo simba na yanga zinashikilia sana uchawi lakini hazifiki popote hata kombe la afrika wanatoka patapu!

Mikoa yenyewe inayoaminika kuwa na uchawi sana kama mikoa ya kusini, Tanga, Bagamoyo, Kigoma na Sumbawanga ndio mikoa inayoongoza kwa umasikini, sasa kwanini wasitumie uchawi wao kujitajirisha kama kweli uchawi una faida?!
 
asiyekubali kushindwa si mshindani....historia yetu ipo ambayo inasema ukweli ila hatuutaki ukweli huo. tena hata ukiangalia hiyo historia inavyosema na tulivyo sasa vyote vinashabihiana......tukubali mababu zetu walikuwa hawajiwezi wala kujitambua basi sisi tubadilishe hiyo na mpaka kufikia hapo ni kujitambua tayari na tuendelee zaidi...
Utasemaje babu kajenga pyramid alafu mjukuu hata kujenga ikulu umuite mchina??....
Nasema wazi kabisa bila kumung'unya Maneno weye ni Myahudi haswaaa original haina chenga!!....wala isikupe tabu jua kabisaa huyu Mleta Mada ni Masalia ya jamii ya Esau!! ukichanganya na wengi walio jibu hapa utawajua kabisa ni uzao wa Esau!! hawajifichi!

Amini nakwambia kwamba humu Duniani tuko watu wa aina mbili tu, na hii haina ubishi!! na hao watu ni km ifuatavyo;
1) Kizazi cha Yakobo na.
2) kizazi cha Esau.

Sasa kizazi cha Esau siku zote wana kinyongo na kizazi cha Yakobo, na hayataisha milele!...Kizazi cha Esau wao siku zote wako kinyume!! na hawa hawata enda Mbinguni kwa kuwa ni asili ya kizazi cha nyoka.....Lkn hwa wa Yakobo Mungu alishawatolea dhambi zao kitambo!

wao wan free ticket ya kwenda paradiso kula raha!! na hawa watapigwa mihuri ktk vita ya Almagedonia!! haita wadhuru!! na hawa wa Esau wao watapigwa kiberiti pamoja na shetani! sasa hii spritually inawaumiza sana miaka miingi ila wao hawajui kuwa wako ivo!!

Hawa kizazi cha Esau ndo hao hao waliuza sana watumwa!! tunao humu! hawa hata Neno la Mungu hawalielewi kabisa/somo halipandi /wabishi kuwa Mungu hayupo hata uwapige nyundo! na

hawa hawa ndo wanazalisha wachungaji Matapeli!/ wazinzi/wachawi na kila aina ya wachungaji wachafu na wabaya, wanatoka kundi hili Lengo likiwa ni kuyumbisha ukweli!! Tunajua NEni la Mungu lina vita kali sana popote pale Duniani! kwa nini iwe ivo??

ukijua ukweli huu!! na likikuingia hili neno Moyoni inatosha kujua kuwa Mungu yupo tena hatari kuliko hatari yenyewe!!...wanahangaika sana na Watu wanao mjua Mungu wa kweli Why??....

Mungu wa watu amejikalia zake Paradiso anakula bata, Maserafi na makerubi wana mwimbia hana hili wala lile lkn wanapiga kelele miingi ooh! mara ni uongo!!! mara Wayahudi wanajidai kuwa wao ni wakipekee sana!! mweee!

Wayahudi kuchukiwa hawajaanza leo na Mleta Mada, Tangu zama walichukiwa mnooo!! mpaka sasa chuki ni hizohizo!! hakuna kiumbe anae itwa Mwanadamu ana chukiwa mbaya humu Duniani km Mtu Yahudi mweusiii! Nenda USA,UK,China, nk mtu mweusi hapendwiiii!!

Alichokosea hakijulikani kwanza ni mtumwa wao anawafanyia kazi wao!! kwa Malipo Duni kabisaa!...na asikudanganye Mtu alipotumikishwa mtu mweusi km Mtumwa popote pale Duniani ndo hapo pana Maendeleo!

yaani hao! hao ndo super power country wa leo! km USA,UK Nk!!...lkn kosa wanalolifanya ni kuwaua na kuwanyanyasa hao wenye upako!! kwanza kosa walilofanya ni kuwarudisha Africa na kuwanyanyasa hovyo!! UK ikapoteza, sasa USA itapoteza subiri uone !!

Na Mateso ya wayahudi Duniani yalikuwepo tangu zama na zama!! pale tu walipo muudhi Mungu! na hili Mungu aliwaambia jicho kavuuu!! hakuwaficha!! soma kumbukumbu la torati loote uone!! hiyo ilikuwa Hotuba ya MUsa akiwaonya wayahudi!

Kifupi Biblia ni Katiba na mwongozo wa wayahudi! na si vinginevyo!...hata wakupige madongo vipi uyahudi wako uko pale pale!! alicho kifanya shetani ni kuchanganya kizazi cha nyoka yaani shetani mwenyewe na wayahudi, lkn sasa chuma na udongo havishikamani!

yaani wa shetani utawajua na wa Mungu utawajua tena kirahisi sana km Mleta Mada! amesha julikana yeye ni kizazi kipi!! naya sema haya ndugu zangu ili kuwatia Moyo .....SIKIENI BANA ISRAEL ORIGINAL..

MSIOGOPE MUNGU WENU YUPO PAMOJA NANYI! HATAWAACHA MPAKA UKAMILIFU WA DAHALI! AMENITUMA NIWAELEZEE HAYA!
 
Tena hapa ndio huwa wananifikirisha Sana nikiangalia picha za misafara ya watumwa,yaani Babu zetu mashababi kabisa Kama thelathini wamekamatwa na waarabu wawil legelege,Sasa najiuliza hivi walikuwa sawa kweli?
Usiangalia kamoja au tuwili tu!! fikiria kina Gangazomba, Chipiminda na wengine wengi tu hawa walizamisha mpaka Meli za watumwa! ni sawa na nyie leo Mnalima pamba, khawa nk wenyewe kwa mikono yenu na nauri yenukupeleka mazao Ulaya lkn sasa bei MNAPANGIWA!!

au punguza wafanya kazi wako nchini hutaki hupewi hela/Msaada!!...haya muwekeni vyama vingi nchini mwenu hutaki usikanyage Ulaya! km haitoshi juzijuzi hapa Vaeni barakoa hamtaki hatuji kutalii kwenu!!...

hivi wew dada haya yooote huyaoni??au umesahau mara hii kweli??? mpaka unawazodoa hao waliokuwa hawana hata Bunduki?? uchi?..njaa tena wagonjwa, walikuwa na majeraha ya vita jamani mweee!

yaani utumwa umetuandama sana sie wana israel watu weusi...taangu enzi za Musa lkn bado baadhi ya watu hawaelewi somo tu!! Baasi bana mie naenda lala nimechoka
 
Kwa hiyo sisi ndio tulikuwa utumwani Kule Misri?na Musa ndio alikuja kutuokoa?🤔🤔hebu fafanua
 
Back
Top Bottom