Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
what's your point exactly?????....Tunawasubili hao wa ukoo wa Mohamad
Usiponde sana mzee, Mbona tumegundua CHUMA ULETEWatu weusi tuna tatizo kubwa la inferiority complex. Tukifuatiwa na waarabu.wazungu wanajijenga au kujengwa na hali ya kujiamini sana.
Weusi tumebaki kuanzisha nyuzi na kuandika vitabu mafarao walikuwa weusi.haya walikuwa weusi.so what?
Hebu niambie na maisha yako hayo mazuri au ya kuunga unga ukiamka kesho unakuja kuhakikishiwa kabisa.YESU ALIKUWA NI MJOMBA WAKO.YAANI NI UKOO WENU KABISA.
INAKUSAIDIA NINI? sasa hayo ya kuhangaika kusema Yesu alikuwa mweusi mitume na manabii walikuwa weusi.SO WHAT?
AFRIKA ilikuwa na teknolojia ya juu n.m so what? Kwa nini leo hatuhangaiki kupambana na maisha tunahangaika kutafuta asili miaka mingi mbele?
Kama ukigundua waisraeli walikuwa weusi na wamisri walikuwa weusi.then? Lets say ni kweli walikuwa weusi na pua hizi bapa na lips za midomo nene. Na adamu na eva pia walikuwa weusi. Haya sasa tunafanyeje?
Tuhangaikeni kuboresha maisha yetu ndugu zanguni mambo ya kijinga yasitupotezee muda.hayana maana kabisan
Umezungumza ukweli kabisaWatu weusi tuna tatizo kubwa la inferiority complex. Tukifuatiwa na waarabu.wazungu wanajijenga au kujengwa na hali ya kujiamini sana.
Weusi tumebaki kuanzisha nyuzi na kuandika vitabu mafarao walikuwa weusi.haya walikuwa weusi.so what?
Hebu niambie na maisha yako hayo mazuri au ya kuunga unga ukiamka kesho unakuja kuhakikishiwa kabisa.YESU ALIKUWA NI MJOMBA WAKO.YAANI NI UKOO WENU KABISA.
INAKUSAIDIA NINI? sasa hayo ya kuhangaika kusema Yesu alikuwa mweusi mitume na manabii walikuwa weusi.SO WHAT?
AFRIKA ilikuwa na teknolojia ya juu n.m so what? Kwa nini leo hatuhangaiki kupambana na maisha tunahangaika kutafuta asili miaka mingi mbele?
Kama ukigundua waisraeli walikuwa weusi na wamisri walikuwa weusi.then? Lets say ni kweli walikuwa weusi na pua hizi bapa na lips za midomo nene. Na adamu na eva pia walikuwa weusi. Haya sasa tunafanyeje?
Tuhangaikeni kuboresha maisha yetu ndugu zanguni mambo ya kijinga yasitupotezee muda.hayana maana kabisan
Mbona historia zetu tunazifaham vema kila usiku bibi zetu wanatusimulia tukiwa tumezunguka moto kabla ya kulalaFaida za kuifahamu historia yako no kuweza kukupa mwanganza juu ya NGUVU, na MADHAIFU uliyonayo.
NGUVU hukupa uwezo wa kujiamini na MADHAIFU hukupa uwezo wa kujikosoa.
Sisi Waafrika mahitaji yetu ni kujua tulipoteleza na sababu za kuteleza ambazo hakuna njia nyingine ya kuyajua hayo isipokua kwa kuijua historia yetu.
Mwafrika ni Ndege aina ya Tai aliyelelewa tangu mdogo na kuku na kujichanganya na kuku hata ikafika wakati akahisi amepoteza uwezo wake wa kuruka juu angani.Mbona historia zetu tunazifaham vema kila usiku bibi zetu wanatusimulia tukiwa tumezunguka moto kabla ya kulala
Watu weusi tuna tatizo kubwa la inferiority complex. Tukifuatiwa na waarabu.wazungu wanajijenga au kujengwa na hali ya kujiamini sana.
Weusi tumebaki kuanzisha nyuzi na kuandika vitabu mafarao walikuwa weusi.haya walikuwa weusi.so what?
Hebu niambie na maisha yako hayo mazuri au ya kuunga unga ukiamka kesho unakuja kuhakikishiwa kabisa.YESU ALIKUWA NI MJOMBA WAKO.YAANI NI UKOO WENU KABISA.
INAKUSAIDIA NINI? sasa hayo ya kuhangaika kusema Yesu alikuwa mweusi mitume na manabii walikuwa weusi.SO WHAT?
AFRIKA ilikuwa na teknolojia ya juu n.m so what? Kwa nini leo hatuhangaiki kupambana na maisha tunahangaika kutafuta asili miaka mingi mbele?
Kama ukigundua waisraeli walikuwa weusi na wamisri walikuwa weusi.then? Lets say ni kweli walikuwa weusi na pua hizi bapa na lips za midomo nene. Na adamu na eva pia walikuwa weusi. Haya sasa tunafanyeje?
Tuhangaikeni kuboresha maisha yetu ndugu zanguni mambo ya kijinga yasitupotezee muda.hayana maana kabisan
Lengo la wasemao hivyo ni ili tusijione ni completely Failures, Tupate hope, kwa kuona kuwa kuna ndugu zetu waliwahi kuwa vizuri kichwani ho kumbe na sisi tunaweza. Huwezi kuendelea bila kujua ulipotoka. hata hao wachina tunaowaogopa sasa, wanaheshimu na kuenzi kale zao.
Hapa kwenye la utumwa wengi hamjui vema au hamjui kabisa. Kwanza kabisa ufahamu utumwa ulifanikiwa vema kwa sababu ya ushiriki thabiti wa mtu mweusi dhidi ya weusi wenzake. Jamii zenye nguvu zilikamata mateka kutoka jamii dhaifu na kuwauza kwa waarabu(mawakala) wa utumwa. Na kumbuka silaha zilitumika pia.Tena hapa ndio huwa wananifikirisha Sana nikiangalia picha za misafara ya watumwa,yaani Babu zetu mashababi kabisa Kama thelathini wamekamatwa na waarabu wawil legelege,Sasa najiuliza hivi walikuwa sawa kweli?
Kwa hiyo unataka turudi darasani tusimuliane kwamba Babu zetu machief waliexchange mateka weusi wenzao kwa kupewa shanga na migolore na waarabu si ndio??HAISAIDII...Tunarudi palepale kwa nini huyu chief mweusi alikubali kuuza weusi wenzie kwa nini asingewateka waarabu Kama tunavyoambiwa kuwa before colonialism watu weusi tulikuwa mbele kitecholojia iweje leo mseme Tena mwarabu alikuwa na silaha madhubuti???Hapa kwenye la utumwa wengi hamjui vema au hamjui kabisa. Kwanza kabisa ufahamu utumwa ulifanikiwa vema kwa sababu ya ushiriki thabiti wa mtu mweusi dhidi ya weusi wenzake. Jamii zenye nguvu zilikamata mateka kutoka jamii dhaifu na kuwauza kwa waarabu(mawakala) wa utumwa. Na kumbuka silaha zilitumika pia.
Jambo lingine, jinsi walivyokua wanatekwa hata ungekua wewe usingeweza. Na ile minyororo ni mizito sana na namna walivyokua wanafungwa no way unaweza kujinasua. Jaribuni kujifunza. Awali nami nilikua mpumbavu kuwaza kama wewe.
Huu ndiyo ukweli sasa. Kimsingi naomba nitoe shuhuda mimi nipo katika moja ya mashirika makubwa ya usafirishaji ya serekali.Tatizo sio viongozi ni waafrica wenyewe......kwasababu hao viongozi hawatoki nje ya africa ni wenzetu......na hata wewe ukawa leo kiongozi sitoshangaa ukafanya kama hao wengine.....
Shida kubwa ni mindset ya waafrica!
Kwa maelezo yako kwanza yanaonyesha sisi sio waisrael sababu waisrael walikuwa hawashirikian na watu wengine, najisi kwao, na wao kujiona bora, asa sisi kumbe tuliuzana wenyew kwa wenyew kwa waarabu, pia inaonyesha tatizo lipo kwa muafrika mwenyew wala sio kwa wazungu, pia nchi nying zimefanywa utumwa ila Afrika maendeleo bado hadi sasa tunabaki tunalaumu tu, km vile tulifanyw peke yetu watumwa, chengine embu angalia wafrika waarabu(kaskazini) walivyotuacha kimaendeleo, ndo tujue ngozi nyeusi ni tatizo na tatizo linazidi sababu hatukubali udhaifu wetu ili tutoke hapa tulipo ila tunaujengea sababu zisizo na mashiko.Hapa kwenye la utumwa wengi hamjui vema au hamjui kabisa. Kwanza kabisa ufahamu utumwa ulifanikiwa vema kwa sababu ya ushiriki thabiti wa mtu mweusi dhidi ya weusi wenzake. Jamii zenye nguvu zilikamata mateka kutoka jamii dhaifu na kuwauza kwa waarabu(mawakala) wa utumwa. Na kumbuka silaha zilitumika pia.
Jambo lingine, jinsi walivyokua wanatekwa hata ungekua wewe usingeweza. Na ile minyororo ni mizito sana na namna walivyokua wanafungwa no way unaweza kujinasua. Jaribuni kujifunza. Awali nami nilikua mpumbavu kuwaza kama wewe.
Sijui hata kama umenielewa little kid? Sipo kwenye mada mliyoianzisha. Nime-chip in kukueleza in few paragraph kuhusu ukweli juu ya utumwa ambao vijana wa kileo wengi wenu hamuujui. Siwezi kujadili mada yenu. It is too cheap for me. Nimesoma na kupita zangu. Nilichokujibu hakina uhusiano na mada yenu ambayo kimsingi imejikita kwenye 'intelligence' kati ya waafrika na the rest of races.Kwa hiyo unataka turudi darasani tusimuliane kwamba Babu zetu machief waliexchange mateka weusi wenzao kwa kupewa shanga na migolore na waarabu si ndio??HAISAIDII...Tunarudi palepale kwa nini huyu chief mweusi alikubali kuuza weusi wenzie kwa nini asingewateka waarabu Kama tunavyoambiwa kuwa before colonialism watu weusi tulikuwa mbele kitecholojia iweje leo mseme Tena mwarabu alikuwa na silaha madhubuti???
Halafu nikukumbushe tu msomi anapojibu hoja huwa hapanic Kama unavyopanic brother na kutumia lugha za kejeli na matusi,japo unatumia Id fake isikutoe ustaarabu yaani enzi za utumwa wewe ndio ungekuwa wa Kwanza kwenye ule mstari.
Kama ilikuwa too cheap kwako usingejibu Tena kwa papara ulizotumia,na Bado umerudi kujibu Tena kuonyesha madam imekuvutia,acha kujitia we ndio msomii na kudhani wanadiscuss hapa hawana shule....halafu una kale kakasumba kakuona ukichanganya na lugha ya kigeni ndio tutakuona msomi.Pole kijana wa zamaniSijui hata kama umenielewa little kid? Sipo kwenye mada mliyoianzisha. Nime-chip in kukueleza in few paragraph kuhusu ukweli juu ya utumwa ambao vijana wa kileo wengi wenu hamuujui. Siwezi kujadili mada yenu. It is too cheap for me. Nimesoma na kupita zangu. Nilichokujibu hakina uhusiano na mada yenu ambayo kimsingi imejikita kwenye 'intelligence' kati ya waafrika na the rest of races.
Sikusoma username yako. Kumbe ni mdada. Samahani binti mzuri. Ngoja nikuweke sawa kwa jambo moja.Kama ilikuwa too cheap kwako usingejibu Tena kwa papara ulizotumia,na Bado umerudi kujibu Tena kuonyesha madam imekuvutia,acha kujitia we ndio msomii na kudhani wanadiscuss hapa hawana shule....halafu una kale kakasumba kakuona ukichanganya na lugha ya kigeni ndio tutakuona msomi.Pole kijana wa zamani
Wanataka kuwekwa Mambo sawa kwa maana wametukanwa kwa century nyingi Sana wakiambiwa Kila kitu Chao ni Cha kishenzi na hao mazeluzelu 😂 😂 😂 😂!Watu weusi tuna tatizo kubwa la inferiority complex. Tukifuatiwa na waarabu.wazungu wanajijenga au kujengwa na hali ya kujiamini sana.