Hapa ndipo walimu walipofika...

Hapa ndipo walimu walipofika...

kibavu

Senior Member
Joined
Oct 15, 2008
Posts
136
Reaction score
82
Nimepokea ujumbe huu kupitia simu yangu ya mkononi. Ni ujumbe unaoweza kuchukuliwa kama masikhala lakini ni hatari sana kwa mustakabali wa elimu yetu, hasa watoto wa wakulima tunaotegemea shule za serikali kwa ajili ya watoto na wadogo zetu.

“Matokeo Darasa la Saba 2012 DODOMA, SHULE 87 HAZIKUTOA mwanafunzi hata mmoja mwenye sifa za kwenda kidato cha kwanza. Wilaya ya Kondoa shule 37 zimeongoza kutofaulisha hata mwanafunzi 1. Wilaya ya Chamwino shule 6 nazo pia zimepiga chini.Hongera walimu wa mkoa wa Dodoma nyie ni mfano wa kuigwa ili kuikumbusha serikali kuweza kuinua kipato chenu. Ongezeni juhudi katika kuuza visheti walau muwe mnarudi nyumbani hata na mboga za watoto kuliko kurudi mikono mitupu. Huo ndio mgomo mzuri, mnnafika kazini ila work done zero. Nani kama walimu wa Dodoma? Walimu kazeni buti mpaka kieleweke. Tuma kwa walimu 10 tu.”
 
huu ni upuuzi na kimsingi ni kuonyesha ni jinsi gani ambavyo sisi waalimu tuko duni katika kufikiri. hivi aliyeandika hiyo sms anafikiri watoto wa marehem shangaziye wakiwa miongoni mwa below lower scorers atafurah??

hivi anafikiri sustainable tanzania itajengwa na watu wasiokuwa na elimu?? halafu ni mwl hivi tunakumbuka vizuri phylosophy of education inasemaje??

mwl nyerere aliwah kusema tupige vita ujinga, maradhi na umaskini haya leo unatengeneza taifa la wajinga kwa makosa ya viongozi wao unategemea umaskini na maradhi visiwepo??

regardless our low wages we are supposed to think how are we going to improve our quality of education. kama unaona huwez basi opt for private schools basi.

nachukia sana sms za aina hii manake zinawaadhibu watoto ambao ni safi kabisa.
 
Alichoongea ni sawa,philosophers walivyoongelea juu ya lengo la elimu ni tofaut na kinachofanyka sasa hiv,tatizo serikal
 
huu ni upuuzi na kimsingi ni kuonyesha ni jinsi gani ambavyo sisi waalimu tuko duni katika kufikiri. hivi aliyeandika hiyo sms anafikiri watoto wa marehem shangaziye wakiwa miongoni mwa below lower scorers atafurah??

hivi anafikiri sustainable tanzania itajengwa na watu wasiokuwa na elimu?? halafu ni mwl hivi tunakumbuka vizuri phylosophy of education inasemaje??

mwl nyerere aliwah kusema tupige vita ujinga, maradhi na umaskini haya leo unatengeneza taifa la wajinga kwa makosa ya viongozi wao unategemea umaskini na maradhi visiwepo??

regardless our low wages we are supposed to think how are we going to improve our quality of education. kama unaona huwez basi opt for private schools basi.

nachukia sana sms za aina hii manake zinawaadhibu watoto ambao ni safi kabisa.

mh! Mwal. Kweli ww? Au ulikuwaga? Au ww ni wa UPE? Au unakaribia kustaafu? Kama yote hayo siyo, basi unapretend to be satisfied. You are not being real
 
Jibu lako linaonyesha kuwa umehamaki sana na kumkaripia mwandishi. Ingawa siungi mkono kutowafundisha wanafunzi kwa makusudi, ila kuna vigezo vingi sana ambavyo vinachangia kufaulu au kufeli kwa mwanafunzi. Kuna haja ya kuangalia kushuka kwa kiwango cha elimu ya Tanzania nje ya mishahara midogo tu ya waalimu, na kuangalia mambo mengine kama mazingira ya kazi, motisha, vifaa n.k.

Jukumu la kuboresha elimu ya taifa lipo zaidi mikononi mwa serikali na ni lazima serikali ilione hilo na kulipa kiupaumbele kuliko, nadiriki kusema, mambo mengine yote.
 
Jaman kama mkristo siamin katika kulipiza kisasi
 
Walimu wananyanyaswa vya kutosha ndio maana sms za kukata tamaa kama hizo zinatoka. Huko Dar kwa mfano Benki ya Posta na Jiji wanajilia fedha ya walimu ya WADU kwa karibu mwaka sasa. Walimu hata wakitaka kujitoa hiyo WADU hawawezi ili waendelee kuibiwa!
 
mh! Mwal. Kweli ww? Au ulikuwaga? Au ww ni wa UPE? Au unakaribia kustaafu? Kama yote hayo siyo, basi unapretend to be satisfied. You are not being real

mm ni mwl, ila siungi mkono watt kufundishwa ama kusambaza ujumbe wa kutokufundisha watt. tena kwa makusudi kabisa.
swala hapa ni kujenga hoja na sio kulipa kisasi kwa innocent kids.
 
Jibu lako linaonyesha kuwa umehamaki sana na kumkaripia mwandishi. Ingawa siungi mkono kutowafundisha wanafunzi kwa makusudi, ila kuna vigezo vingi sana ambavyo vinachangia kufaulu au kufeli kwa mwanafunzi. Kuna haja ya kuangalia kushuka kwa kiwango cha elimu ya Tanzania nje ya mishahara midogo tu ya waalimu, na kuangalia mambo mengine kama mazingira ya kazi, motisha, vifaa n.k.

Jukumu la kuboresha elimu ya taifa lipo zaidi mikononi mwa serikali na ni lazima serikali ilione hilo na kulipa kiupaumbele kuliko, nadiriki kusema, mambo mengine yote.

swala hapa hatupaswi kuwahukumu innocent kids. bali tujenge hoja kwa serikalini,na sio kuadhibu watt.
 
mm ni mwl, ila siungi mkono watt kufundishwa ama kusambaza ujumbe wa kutokufundisha watt. tena kwa makusudi kabisa.
swala hapa ni kujenga hoja na sio kulipa kisasi kwa innocent kids.

pole! Hakuna anaeadhibu hao watoto ila watoto wanaathirika kutokana na matokeo ya system mbovu! Ulitaka walimu wawe wanabomoa majengo, wawe wanachoma vitabu (kama vipo) kwakuwa wanafunzi ni sehemu katika sekta hii ni lazima waathirike na kususwa huku kwa sekta ya elimu.
 
kwani mbinu pekee ya kutatua hili tatizo ni kubomoa majengo na kuchoma vitabu??
wanaweza wakademonstrate kwa amani, wakatumia chama chao kupeleka hoja mahususi, wakatumia asasi za kiraia kupeleka ujumbe na wakaskilizwa.

unless wewe sio mwl lkn ungekuwa ni mwl basi ungeelewa ninachomaanisha manake hata tatizo la mwl sio salary peke yake. kama ishu ni mshahaa mbona hilo in rahisi kulisemea??

imagine mwaka 2012/2013 waalimwaliostahili kupanda vyeo hawajapandishwa simply kwasasabu serikali haina hela na ulitumwa waraka kwamba serikali haina pesa ya kupandisha vyeo kwani watakosa hela za mishahara mipya.

wafikiri kwa situation kama hii na wakati kupanda cheo ni haki ya mtumish wa umma, ukigoma kufundisha itakuwa ni sahihi?? kwann CWT isifungue kesi dhidi ya jamhuri kwamba watumisha wake wamenyimwa haki yao ya msingi?? tena kwa kufanya hivi wangeifanya serikali iwajibike pasavyo.

tuache kutuana midaid ya ugomvi tufikiri in a more positive way dhidi ya watoto wetu tunaowafundisha.
 
Naona umesahau uliyokuwa unayasema kipindi kile cha mgomo.Pole sana
 
sija yasahau na msismamo wangu ni ulele ila sasa mgomo umeisha tunatakiwa tufanye kazi visasi vya nn juu ya wanafunzi?? ni bora tuendelee na mgomo na mm nitagoma kwa moyo wote ijulikane kwamba tumegoma lkn si kusema tunakwenda kufundisha halafu hatufundishi, hii ni adhabu kwa wanafunzi na sio kwa serikali.
 
huu ni upuuzi na kimsingi ni kuonyesha ni jinsi gani ambavyo sisi waalimu tuko duni katika kufikiri. hivi aliyeandika hiyo sms anafikiri watoto wa marehem shangaziye wakiwa miongoni mwa below lower scorers atafurah??

hivi anafikiri sustainable tanzania itajengwa na watu wasiokuwa na elimu?? halafu ni mwl hivi tunakumbuka vizuri phylosophy of education inasemaje??

mwl nyerere aliwah kusema tupige vita ujinga, maradhi na umaskini haya leo unatengeneza taifa la wajinga kwa makosa ya viongozi wao unategemea umaskini na maradhi visiwepo??

regardless our low wages we are supposed to think how are we going to improve our quality of education. kama unaona huwez basi opt for private schools basi.

nachukia sana sms za aina hii manake zinawaadhibu watoto ambao ni safi kabisa.

Tatizo lingine ni Serikali kusahau hii sekta ya Elimu kiasi cha kuidhoofisha kabisa kwa miundombinu,maslahi ya walimu na majibu hayajatolewa kuhusu kubadilikabadilika kwa mitaala,kutowapa walimu study tour,uhaba wa vitabu mashuleni,na vifaa vya kufundishia.
 
Sasa means badae hakutakua na wenye elimu nakuongoza inchi vzur, ikiwa ivo watoto wanakosa Elimu bora, serikali inatakiwa iangalie hili swala haraka sana.
 
kwani mbinu pekee ya kutatua hili tatizo ni kubomoa majengo na kuchoma vitabu??
wanaweza wakademonstrate kwa amani, wakatumia chama chao kupeleka hoja mahususi, wakatumia asasi za kiraia kupeleka ujumbe na wakaskilizwa.

unless wewe sio mwl lkn ungekuwa ni mwl basi ungeelewa ninachomaanisha manake hata tatizo la mwl sio salary peke yake. kama ishu ni mshahaa mbona hilo in rahisi kulisemea??

imagine mwaka 2012/2013 waalimwaliostahili kupanda vyeo hawajapandishwa simply kwasasabu serikali haina hela na ulitumwa waraka kwamba serikali haina pesa ya kupandisha vyeo kwani watakosa hela za mishahara mipya.

wafikiri kwa situation kama hii na wakati kupanda cheo ni haki ya mtumish wa umma, ukigoma kufundisha itakuwa ni sahihi?? kwann CWT isifungue kesi dhidi ya jamhuri kwamba watumisha wake wamenyimwa haki yao ya msingi?? tena kwa kufanya hivi wangeifanya serikali iwajibike pasavyo.

tuache kutuana midaid ya ugomvi tufikiri in a more positive way dhidi ya watoto wetu tunaowafundisha.

nadhan hii ni vita ya WALIM vs SERIKALI. Ngwe ya kwanza serikal ilishnda kwa kutumia ilichonacho. Sasa walim wamejipanga kushambulia na actually wameshambulia kwa kutumia walichonacho pia. SIONI tatizo kama hiyo ndiyo ilikua maana..mmoja aweke SILAHA chini vita iishe.
 
Ndugu Mwl. (kama ni kweli) kutokufundisha si "njia pekee" nakubaliana na wewe, lakini ni miongoni mwa zilizonyingi. Nani kakwambia mgomo wa walimu uliisha? uliisheje? unavozungumzia habari za CWT na Serikali yetu plus njia ambayo wewe unashauri, yaani mtu akisoma maelezo yako anaweza dhani labda unaishi sayari nyingine siyo hii Dunia, hasa katika ardhi ya Tanzania! CWT ina mazuri mengi sana ndiyo, lakini kwa hili la mgomo wa walimu na matokeo yake sidhani kama bado ungetolea mfano kama ni forum nzuri kwa walimu kuelezea na kutatua matatizo yao kwa namna ulivyoshauri. Unajua ili mtu afanye kazi na alete matokeo mazuri ni muhimu sana kwa uongozi kuwa na busara! lakini kwa Serikali yetu busara kidogo haipo, kilichopo ni kuonesha umwamba tu kwa walimu. ule mgomo kwa taarifa yako kuna walimu mishahara yao ilitolewa kwa utata, walimu walikuwa excluded kwenye zoezi la sensa. kufundisha vizuri kwa kutumia mbinu zilizofundishwa vyuoni pamoja na mbinu nyingine mbadala na kufatilia watoto kwa ukaribu kunahitaji mwalimu awe satisfied na mazingira ya kazi, mshahara wake,namna anavyopewa thamani na mwajiri wake na mengineyo, kama hayapo hayo THE WORST THINGS ARE YET TO COME
 
Asiyeridhia kugoma aendelee kufundisha that's very fine but for me wallah ntafundisha kwa manati tu simkomoi mtoto bali serikali na watu wake mpaka wananchi nao waje juu waelewe teachers are sick and tired of this system and are dissatisfied. Niache kutafuta ela eti naandaa somo la kesho c ntatembea na viraka mie na wananchi wanavyodharau ualimu watakucheka tu japo unasaidia watt wao. Rai kwa walimu wote TAFUTENI KIPATO NJE YA MISHAHARA KWA KUJISHUGHULISHA NA KAZI ZINGINE bt do this after work.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
mm ni mwl, ila siungi mkono watt kufundishwa ama kusambaza ujumbe wa kutokufundisha watt. tena kwa makusudi kabisa.
swala hapa ni kujenga hoja na sio kulipa kisasi kwa innocent kids.

Je, unaunga mkono migomo kama moja ya njia ya kuishinikiza serikali kutimiza madai yenu?
Mi nadhani hapa wa kulaumiwa ni serikali ambayo kwa makusudi kabisa wameamua kuwadharau na kuwatelekeza walimu. Serikali yetu imeamua kwa makusudi kudhoofisha mfumo wa elimu yetu.

Wewe kama ni mwalimu kweli,basi utakuwa uko mjini ambapo kuna huduma zote na unaweza kuzipata kwa urahisi.Wenzako wa huko swekeni wanataabika vibaya mno,hawana makazi ya kuishi (nyumba za kupanga ni za tope), maji shida,huduma nyingine za kijamii kama vituo vya tiba viko mbali na dawa hazipatikani (hata store za dawa ni issue), huduma za mawasiliano shida, umeme hakuna.
Wenzako huko wanalazimika kusafiri umbali mrefu kufuata mshahara,na inambidi wakati mwingine kulala hukohuko mpaka siku ya pili (shida ya usafiri,foleni huko benki,network kwenye ATM)

Waulize walimu wa huko Malinyi (ulanga),Mngeta,Mlimba,mang'ula(Kilombero);Likolombe(Tandahimba),Chawi,Mahurunga(Mtwara rural) wanavyotaabika.

Huko shuleni hata vifaa vya kufundishia shida, hawana chaki, hawana madaftari ya maazimio,kwingine hata vitabu vya mhutasari ya masomo shida.
Mwalimu wa namna hiyo atakuwa na moyo na morali ya kufundisha kweli ilhali hata hajui atakula nini?
HEBU TUWE WAKWELI NDUGU ZANGU, WALIMU WANA HALI NGUMU SANA!
 
sija yasahau na msismamo wangu ni ulele ila sasa mgomo umeisha tunatakiwa tufanye kazi visasi vya nn juu ya wanafunzi?? ni bora tuendelee na mgomo na mm nitagoma kwa moyo wote ijulikane kwamba tumegoma lkn si kusema tunakwenda kufundisha halafu hatufundishi, hii ni adhabu kwa wanafunzi na sio kwa serikali.
Hata walimu hawapendi kugoma kimoyomoyo ila serikali ndiyo inayolazimisha haya yote."Dharau kwa walimu"Kumbuka mwalimu peke yake hawezi kuboresha elimu nchini ni pamoja na serikali.Unajitolea kufundisha halafu unakatishwa tamaa maana yake nini?Acha tu atakaebahatika atatokamo.
 
Back
Top Bottom