kibavu
Senior Member
- Oct 15, 2008
- 136
- 82
Nimepokea ujumbe huu kupitia simu yangu ya mkononi. Ni ujumbe unaoweza kuchukuliwa kama masikhala lakini ni hatari sana kwa mustakabali wa elimu yetu, hasa watoto wa wakulima tunaotegemea shule za serikali kwa ajili ya watoto na wadogo zetu.
Matokeo Darasa la Saba 2012 DODOMA, SHULE 87 HAZIKUTOA mwanafunzi hata mmoja mwenye sifa za kwenda kidato cha kwanza. Wilaya ya Kondoa shule 37 zimeongoza kutofaulisha hata mwanafunzi 1. Wilaya ya Chamwino shule 6 nazo pia zimepiga chini.Hongera walimu wa mkoa wa Dodoma nyie ni mfano wa kuigwa ili kuikumbusha serikali kuweza kuinua kipato chenu. Ongezeni juhudi katika kuuza visheti walau muwe mnarudi nyumbani hata na mboga za watoto kuliko kurudi mikono mitupu. Huo ndio mgomo mzuri, mnnafika kazini ila work done zero. Nani kama walimu wa Dodoma? Walimu kazeni buti mpaka kieleweke. Tuma kwa walimu 10 tu.