Hapa ndo pamenishinda ndugu zanguni. Ngoja nibaki tu na UPWIRU

Hapa ndo pamenishinda ndugu zanguni. Ngoja nibaki tu na UPWIRU

1. Nianze mfukuzia demu
2. Nimtongoze nimshawishi mpaka anikubalie
3. Kisha nianze kuwa natatua shida zake
4. Ni maintain yeye kubaki au kuwa nipambane niendelee kubaki naye atumie pesa zangu?

WALLAH WACHA NIBAKI NA UPWIRU. NIKIZIDIWA NAJICHUKULIA SHERIA MKONONI. YEYE ABAKI NA KIPOCHI UNYEVU CHAKE NAMI NABAKI NA PESA ZANGU. NGOMA DRAW.
------ 😀 😀 😀 😀 😀 😀 ----------
 
Mafiati mbeya
Msamvu kuelekea Dodoma
Masai Mombasa
Na machimbo kibao ...bei nafuu kabisa Mzee unapiga unaacha hapo hapo
 
1. Nianze mfukuzia demu
2. Nimtongoze nimshawishi mpaka anikubalie
3. Kisha nianze kuwa natatua shida zake
4. Ni maintain yeye kubaki au kuwa nipambane niendelee kubaki naye atumie pesa zangu?

WALLAH WACHA NIBAKI NA UPWIRU. NIKIZIDIWA NAJICHUKULIA SHERIA MKONONI. YEYE ABAKI NA KIPOCHI UNYEVU CHAKE NAMI NABAKI NA PESA ZANGU. NGOMA DRAW.
Una Hela kweli wewe
 
Hakuna kitu kinaitwa bustani munajipa moyo hata uwe na pesa unajaza jaba bado hio Route juu inakuhusu tu mwanaume. Hakuna wanawake watakufuata.
Haina maana kukufuata kuja kukutongoza moja kwa moja. Kuna ishara fulani ataonyesha za kulazimisha kingi keaiyo ni wewe kujiongeza unapiga mzigo. Lakini hii ya kuanza kutongoza unajiweka upande dhaifu, tena mademu wenyewe saiv mapenzi kwao ajira. Ukiomba namba tu ni kama umesaini mkataba wa ku-adopt mtoto kwenye kituo cha kulea watoto yatima.
 
Mkuu endelea tu na msimamo wako nakuunga mkono kwenye ili apa nmejilipua asubuhi, mchana, bado usiku ni kujilipua mpaka una SIZI kwa kifupi acha kazi iendelee hamna namna
 
1. Nianze mfukuzia demu
2. Nimtongoze nimshawishi mpaka anikubalie
3. Kisha nianze kuwa natatua shida zake
4. Ni maintain yeye kubaki au kuwa nipambane niendelee kubaki naye atumie pesa zangu?

WALLAH WACHA NIBAKI NA UPWIRU. NIKIZIDIWA NAJICHUKULIA SHERIA MKONONI. YEYE ABAKI NA KIPOCHI UNYEVU CHAKE NAMI NABAKI NA PESA ZANGU. NGOMA DRAW.
Kwani lazima uweka kambi kabisa kama hijawa tayari? Mbona k disposable zipo nyingi tu?
 
Kutongoza tongoza ni ishara ya umasikini

Kuna level fulani ya mafanikio ukifika hauhitaji kutongoza

Panda bustani yako iboreshe vipepeo watajileta wenyewe. Elewa neno bustani na vipepeo

Women are attracted to men lifestyle
kudanganya sana nimeachaa sekondari....huku mbele mambo wazi tu kiulainii safiii
 
Back
Top Bottom