Angestaafu mwenyewe kirahisi afungwe au afilisiwe?Mobutu hana akili,miaka yote hiyo aliyokula. Angestaafu kwa kupenda wala hiki kijiji kisingedhalilika namna hii.
Atajifanya hasikii shida yetu Waafrika huwa tunapenda sana kurudia rudia makosa.Magufuli soma historia.
Mobutu pia alikuwa na wapambe wa kumtia moyo lakini alipofukuzwa madarakani wote waliyayuka.PENYE UKWELI NA USEMWE, LAKINI CHATO HAIWEZI KUWA TEMBO MWEUPE KAMA GBADOLITE YA MOBUTU! THINK!
we utakua unasoma nini au mavuziKaa huko na ndoto zako za kupenda kula pesa za wananchi. Na bado... mtaisoma namba hadi mnyooke
Sisi wengine huwa tunapenda kuwa 'neutral observers' muda mwingi. Nakuomba tu, kwa uzi huu 'specifically', jaribu kulinganisha Gbadolite na Chato ukizingatia 'ACCESSIBILITY', 'POTENTIAL' ya utalii na uchumi kwa ujumla wake, POPULATION ...... etc etc!Mobutu pia alikuwa na wapambe wa kumtia moyo lakini alipofukuzwa madarakani wote waliyayuka.
Wakongo walishindwa kuyataifisha na kuyaendeleza haya makazi ? Nafikiri hata serikali za sasa nazo zina matatizo kichwani. Hiyo ni pesa ya walipa kodi inateketea !
Biibiii😂skamooooKaa huko na ndoto zako za kupenda kula pesa za wananchi. Na bado... mtaisoma namba hadi mnyooke
Sawa,Chato ni Tanzania; na Gbadolite ni sehemu ya Zaire (sasa DRC) pia,lakini leo hii pako kama alivyopakusudia Mobutu?Charity begins at home! Uzuri ni kuwa chato ipo Tanzania! Kama malalamiko yanayoelekezwa kwa Mkuu yanalenga kutuaminisha kuwa Chato hapana hadhi katika Tanzania, ama basi yaliyofanywa huko yalipaswa kufanyika kaskazini tu itakuwa ni kumuonea mkuu.
Mobutu Sesseko Kuku ngendu Wazabanga baada ya kuingia madarakani kimabavu akaanza utawala wa kidikteta
Akajenga ikulu/kasri kubwa kijijini kwao Gbadolite ,akajenga uwanja mkubwa wa kutua ndege tena zilikua zile Concord ,uwanja huu alijenga kijijini kwao
Mobutu alipandisha hadhi kijiji cha kwao na kuwa jiji yani jiji la Gbadolite
Mobutu baada ya kufurumushwa madarakani kijiji kimebaki gofu malisho ya mbuzi na ng'ombe
Ikulu imabaki magofu na makazi ya popo
Uwanja wa ndege umebaki kutua ndege john na wengine walio umbwa na Mungu
Mobutu alikula sana hela za Nchi ya Zaire kujitajirisha na kujenga kwao
Leo hii kwao kumebaki magofu
Magufuli soma historia.
Uwanja wa ndege wa kimataifa wa Gbadolite
IkuluView attachment 1147267View attachment 1147269View attachment 1147270View attachment 1147271View attachment 1147272
[/QUOTE waafrica wakipata uongozi wabinafsi sana wajiangalia wao na matumbo yao na kwao hawajali wengine
Sasa shida ni ya Mobutu ama wacongo wenyewe! Kwa nini hawakupataifisha wakaibua mradi wa maana kama chuo, nk. Nachokiona katika wanaowalalamika sio kuwa wao wana mtazamo uliobora dhidi ya viongozi walalamikiwa bali wanaongozwa na chuki chuki chuki tu. Huo ndo uafrika.Sawa,Chato ni Tanzania; na Gbadolite ni sehemu ya Zaire (sasa DRC) pia,lakini leo hii pako kama alivyopakusudia Mobutu?
Historia inatabia ya kujirudia.
HATA SASA ,MNAWEZA KUPAITA JIJI, LA MUHIMU MIOYO YENU ITAKUWA HAITAKI NDANI KWA NDANI.Kutesa kwa zamu...na tuna mpango wa kuipa hadhi ya jiji wilaya ya chato.
Wewe mwenye upeo unaishia kubaini walio na akili ilofinyu?? Jenga hoja ili uonyeshe utofauti wako na mimi, vinginevyo tupo kundi moja la wenye akili finyu.Kuna watu wana akili finyu sana
Magufuli anadhani akitoka madarakani kina bashite na villaza wengine alio wateuwa watakuwa mabilionea hivyo watakuwa wanakwenda kumtembelea na private jetMobutu Sesseko Kuku ngendu Wazabanga baada ya kuingia madarakani kimabavu akaanza utawala wa kidikteta
Akajenga ikulu/kasri kubwa kijijini kwao Gbadolite ,akajenga uwanja mkubwa wa kutua ndege tena zilikua zile Concord ,uwanja huu alijenga kijijini kwao
Mobutu alipandisha hadhi kijiji cha kwao na kuwa jiji yani jiji la Gbadolite
Mobutu baada ya kufurumushwa madarakani kijiji kimebaki gofu malisho ya mbuzi na ng'ombe
Ikulu imabaki magofu na makazi ya popo
Uwanja wa ndege umebaki kutua ndege john na wengine walio umbwa na Mungu
Mobutu alikula sana hela za Nchi ya Zaire kujitajirisha na kujenga kwao
Leo hii kwao kumebaki magofu
Magufuli soma historia.
Uwanja wa ndege wa kimataifa wa Gbadolite
IkuluView attachment 1147267View attachment 1147269View attachment 1147270View attachment 1147271View attachment 1147272