Mzalendo2015
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 6,710
- 9,063
KWA MAUMBILE, MAZINGIRA NA MIUNDOMBINU ILIYOPO, CHATO INA 'POTENTIAL' YA KUKUA ZAIDI YA SHINYANGA, BUKOBA NA MUSOMA!
JADILI!
Hatuwezi kujadili upumbaf!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KWA MAUMBILE, MAZINGIRA NA MIUNDOMBINU ILIYOPO, CHATO INA 'POTENTIAL' YA KUKUA ZAIDI YA SHINYANGA, BUKOBA NA MUSOMA!
JADILI!
Kodi zetu si Salama sana kipindi hiki.
Mkuu ni kweli kwamba lile tawi la CRDB Chato lilishafungwa?Mzee baba mimi ni mtetezi wake ila kwa haya ya airport na mataa na mabenki yasiyo jengwa kwa kuangalia wingi wa wateja na fursa halisi simuungi mkono hata kidogo.
Hii ni 'precedent' mbaya sana kwa viongozi watakaomfuatia.
Ukimya gani ambao umekushinda wewe!!Wakati mwingine sio lazima u comment kila uzi,uwe unapita tu kimya kimya
Mobutu Sesseko Kuku ngendu Wazabanga baada ya kuingia madarakani kimabavu akaanza utawala wa kidikteta
Akajenga ikulu/kasri kubwa kijijini kwao Gbadolite ,akajenga uwanja mkubwa wa kutua ndege tena zilikua zile Concord ,uwanja huu alijenga kijijini kwao
Mobutu alipandisha hadhi kijiji cha kwao na kuwa jiji yani jiji la Gbadolite
Mobutu baada ya kufurumushwa madarakani kijiji kimebaki gofu malisho ya mbuzi na ng'ombe
Ikulu imabaki magofu na makazi ya popo
Uwanja wa ndege umebaki kutua ndege john na wengine walio umbwa na Mungu
Mobutu alikula sana hela za Nchi ya Zaire kujitajirisha na kujenga kwao
Leo hii kwao kumebaki magofu
Magufuli soma historia.
Uwanja wa ndege wa kimataifa wa Gbadolite
IkuluView attachment 1147267View attachment 1147269View attachment 1147270View attachment 1147271View attachment 1147272
Fizibiliti study bongo hii!! Rejea lile bwawa la DART jangwani, kulihitajika PhD kujua pale hapafai! Nachokuhakikishia hapa bongo wanaopinga progress za JPM nao wakipata nafasi watakuwa na madudu Yale yale tu! Sisi ni wabinafsi kwa hulka tu, lakini pia yeye sio mtakatifu hadi tuseme hautendei wema utakatifu huo. Hujawasikia wabunge pamoja na vipato vilivyonona bado walishindwa kutoa pesa binafsi kwenda kushangilia Taifa Stars, wakaomba pesa za umma!! Mpumzisheni Mkuu asee.Kwa nini ajengewe hizo chuki binafsi!!!? Inawezekana kabisa ni kwa sababu anafanya maamuzi ya matumizi ya fedha za umma kibinafsi zaidi. Nani aliyefanya feasibility study kujua iwapo Chato ilifaa kuwa na International Airport!!?
Mtu akilaumiwa kwa matendo yake yasiyo shirikishi si chuki.
Huu ndio ujinga na upumbavu uliopitilizaCharity begins at home! Uzuri ni kuwa chato ipo Tanzania! Kama malalamiko yanayoelekezwa kwa Mkuu yanalenga kutuaminisha kuwa Chato hapana hadhi katika Tanzania, ama basi yaliyofanywa huko yalipaswa kufanyika kaskazini tu itakuwa ni kumuonea mkuu.
UnepanikiWewe ndo hopeful?! Unapoongelea nationalhood taswira yako inaitenga chato?! Kupinga tu hakusaidii. wakati analeta midege mikubwa watu wakaponda sana, ungedhani labda hakuna atakayepanda hizo ndege, sasa zinajaa na safari za nje zinazidi kuibuliwa! Jf ikekuwa sehemu ya kupumulia na ku-release tension za maisha. Acheni hizo.
Isipokuwa Jiwe mwenyewe na akina Bashite i.e. wajinga wenzie!Kwa mtu yeyote mwenye akili timamu anafahamu nini kitatokea kule baada ya JIWE kutoka madarakani...
Nashukuru kwa kuwa umekuwa mkarimu, namna hii tunaweza kujadiliana na kuafikiana. Nikwambie Mkuu demokrasia si jambo jepesi kivile kama ambavyo uongozi si kila mmoja anauweza. Hata huko Marekani kuliibuka tuhuma za Trump kusaidiwa na Urusi katika kuupata urais, hapa Afrika demokrasia ni ndoto kabisaa. Lakini pia yapo mazingira ambayo udikteta ni bora kuliko demokrasia, sisi tumekaririshwa tu na mifumo yetu ya elimu.Demokrasia ni mchakato. Hapa Hakuna anayelalama. Tunajadiliana. Mleta mada anasema Mobutu kwa udikteta wake alifanya vitu ambavyo kama vingeamuliwa kwenye vyombo vya kidemokrasia isingewezekana kufanyika jinsi vilivyofanyika.
Sasa je, hawa wa kwetu wakifanya kwa udikteta tu watu wasiseme kwa sababu haibadili chochote!!?
Lazima isemwe, maana mwisho wa yote watu wakichoka kusema hushtaki kwa
Mungu!!!
Hata akija mtawala wa CCM baada yake, bado Chato kama ilivyo hii ya Seseseko! Mpaka sasa sijaona faida yoyote ya kiuchumi kwa huu mradi.
Kilimilire nawe umezongwa na upori.Charity begins at home! Uzuri ni kuwa chato ipo Tanzania! Kama malalamiko yanayoelekezwa kwa Mkuu yanalenga kutuaminisha kuwa Chato hapana hadhi katika Tanzania, ama basi yaliyofanywa huko yalipaswa kufanyika kaskazini tu itakuwa ni kumuonea mkuu.
Huu ndio ujinga na upumbavu uliopitiliza
Kuna nini chato cha kuweza kuimarisha uchumi
Kwa hivi akija Rais mwingine toka Peramiho naye akajenga airport au mabenki huko kwao nayo itakuwa sawa?
Chazo cha mapato kiko wapi? Hawalimi hawafugi ardhi mbovu watu wenyewe ni primitive baiskeli tu hawana halafu unawapelekea ndege like seriously!
Angekarabati uwanja wa Mwanza uwe wa kimataifa
Time will tell
Wewe utakua unatokea JALALANI si kwa UHAROO HUUCharity begins at home! Uzuri ni kuwa chato ipo Tanzania! Kama malalamiko yanayoelekezwa kwa Mkuu yanalenga kutuaminisha kuwa Chato hapana hadhi katika Tanzania, ama basi yaliyofanywa huko yalipaswa kufanyika kaskazini tu itakuwa ni kumuonea mkuu.
Macho yaliona, masikio yakasikia...Wana mpango wa kutawala milele,mwanae mpendwa alishasema mbele yake kuwa anataka kuja kuwa kama Baba!!
Meza kabisa huo uharo ndo akili ikukae sawa.Wewe utakua unatokea JALALANI si kwa UHAROO HUU
Niulize kwa nini nikujibu
Charity begins at home! Uzuri ni kuwa chato ipo Tanzania! Kama malalamiko yanayoelekezwa kwa Mkuu yanalenga kutuaminisha kuwa Chato hapana hadhi katika Tanzania, ama basi yaliyofanywa huko yalipaswa kufanyika kaskazini tu itakuwa ni kumuonea mkuu.
PENYE UKWELI NA USEMWE, LAKINI CHATO HAIWEZI KUWA TEMBO MWEUPE KAMA GBADOLITE YA MOBUTU! THINK!
UMEONA MBALI! KWAKUWA CHATO NI KARIBU NA MIPAKANI, PANAFAA SANA KUWA NA BASE YA JESHI LA ANGA NA, NINAJUA NI SEHEMU YA MPANGO MZIMA!Atakachokifanya Magufuli ni kuunda Mkoa wa Chato. Lakini hilo halitasaidia Chato isiwe kama Gbadolite kwa sababu watu wa kupanda ndege kwenda Chato hawapo na watumishi wa serikali watakaokuwa huko kipato chao ni kidogo sana kumudu nauli ya ndege.
Ushauri wangu kwake ni yeye aufanye huo uwanja uwe mali ya JWTZ ili wawe wanafanyia mazoezi yao huko