Hapa ni Gbadolite, Kijijini kwa dikiteta Mobutu Sesseko Kuku Wazabanga, nyumba zimegeuka Magofu na mahame

Hapa ni Gbadolite, Kijijini kwa dikiteta Mobutu Sesseko Kuku Wazabanga, nyumba zimegeuka Magofu na mahame

Haina shida nyumbani kwanza ata mimi naanza nyumbani hili hiwe mfano nyote mkipata mkumbuke kwenu ndio nchi itaendelea
 
Charity begins at home! Uzuri ni kuwa chato ipo Tanzania! Kama malalamiko yanayoelekezwa kwa Mkuu yanalenga kutuaminisha kuwa Chato hapana hadhi katika Tanzania, ama basi yaliyofanywa huko yalipaswa kufanyika kaskazini tu itakuwa ni kumuonea mkuu.

Ulinielewa vibaya, nilichokuwa namaanisha wanaopinga wana akili finyu
 
Ukaangalia comments nyingi kwa umakini utagundua wachangiaji ni watu kutoka kasikazini,,,,, imagine rais angetoka kaskazini nini kingetokea???? Na hatuna mpango wa kuwakabidhi nchi nyie watu mpaka baadaye sana kwasababu tunawajua vizuri, nani asiyewajua??
 
Mazombi endeleeni kutetea uzombi
Kama ujenzi wako wa hoja unaishia hapa wewe ni zombi mwenzangu, kama unaibiwa kura na unaishia kupost chuki wewe ni zombi mkuu, kama huna uwezo wa kupinga analofanya JPM na unanuna tu wewe ni zaidi ya zombi, na utakuwa vampire kama una ndoto za kumtoa JPM madarakani 2020.

Ningekuona mtu makini kama ungekuja na suruhisho la udhaifu wa JPM ambalo linatekelezeka katika kuibadili dira ya taifa letu. Kama kiongozi anakosea kwa makusudi, ama kujilimbikizia mali kinyume na utaratibu pengine hapo baadae aweza kutaifishwa kwa manufaa ya taifa letu, ila kulalama tuuu ni uzombi og. Na kama aloyafanya Chato ulitaka ulitaka ayafanye kwenu nikikuita zombi nitakuwa nimekupendelea. Ubinafsi Africa unatumaliza, anaelalamika nae anasubiria fursa ili 'apige'.

As long as mimi na wewe hatuna namna bora ya kuwaondoa wasiotufaa madarakani, sote ni mazombi yafaa tujisajili Hollywood pengine tutaongeza kipato halali.
 
Chadema ndo huwa nawaona wajinga hapo tu, yaani nyie kila kitu ni kupinga tu...manyumbu nyie bhana ni shida sana..!
Kama wanaona jambo LA kipuuzi ulitaka wakubali tuu ndiyoooo?
Hilo liko huko kwenu
 
Wakongo walishindwa kuyataifisha na kuyaendeleza haya makazi ? Nafikiri hata serikali za sasa nazo zina matatizo kichwani. Hiyo ni pesa ya walipa kodi inateketea !
Alijenga remote area. ..nani akakae huko. .kama Chattle tu..Muda utaongea
 
Mobutu Sesseko Kuku ngendu Wazabanga baada ya kuingia madarakani kimabavu akaanza utawala wa kidikteta

Akajenga ikulu/kasri kubwa kijijini kwao Gbadolite ,akajenga uwanja mkubwa wa kutua ndege tena zilikua zile Concord ,uwanja huu alijenga kijijini kwao

Mobutu alipandisha hadhi kijiji cha kwao na kuwa jiji yani jiji la Gbadolite

Mobutu baada ya kufurumushwa madarakani kijiji kimebaki gofu malisho ya mbuzi na ng'ombe

Ikulu imabaki magofu na makazi ya popo

Uwanja wa ndege umebaki kutua ndege john na wengine walio umbwa na Mungu

Mobutu alikula sana hela za Nchi ya Zaire kujitajirisha na kujenga kwao

Leo hii kwao kumebaki magofu

Magufuli soma historia.

Uwanja wa ndege wa kimataifa wa Gbadolite
IkuluView attachment 1147267View attachment 1147269View attachment 1147270View attachment 1147271View attachment 1147272
KWa hiyo unataka kusema kuwa Gbadolite imebaki kama Mahame? Aisee, hao ndo viongozi wetu tuliopanga mistari siku nzima kuwapigia kura.
 
Charity should reflect our nationhood//jifunzeni kutoka kwa baba wa Taifa ,aliyoyanena aliyaishi mwenyewe.Hopeless kabisa
Charity begins at home! Uzuri ni kuwa chato ipo Tanzania! Kama malalamiko yanayoelekezwa kwa Mkuu yanalenga kutuaminisha kuwa Chato hapana hadhi katika Tanzania, ama basi yaliyofanywa huko yalipaswa kufanyika kaskazini tu itakuwa ni kumuonea mkuu.
 
Mimi Ni shabiki namba moja wa mzee magu

Lakin kwa hiki , siko upande wake

Bora hivyo vitu angevijenga strategic areas kma kigoma
 
Mobutu Sesseko Kuku ngendu Wazabanga baada ya kuingia madarakani kimabavu akaanza utawala wa kidikteta

Akajenga ikulu/kasri kubwa kijijini kwao Gbadolite ,akajenga uwanja mkubwa wa kutua ndege tena zilikua zile Concord ,uwanja huu alijenga kijijini kwao

Mobutu alipandisha hadhi kijiji cha kwao na kuwa jiji yani jiji la Gbadolite

Mobutu baada ya kufurumushwa madarakani kijiji kimebaki gofu malisho ya mbuzi na ng'ombe

Ikulu imabaki magofu na makazi ya popo

Uwanja wa ndege umebaki kutua ndege john na wengine walio umbwa na Mungu

Mobutu alikula sana hela za Nchi ya Zaire kujitajirisha na kujenga kwao

Leo hii kwao kumebaki magofu

Magufuli soma historia.

Uwanja wa ndege wa kimataifa wa Gbadolite
IkuluView attachment 1147267View attachment 1147269View attachment 1147270View attachment 1147271View attachment 1147272
Sawa tumeona ila nikujifariji tu kwamba chato napo patabadilika kuwa hivi, huyu alijenga kwao maporini huko, magufuli anajenga wilayani chato soon kuwa makao makuu ya mkoa mpya, sasa patabadilikaje kuwa hivi? 😄😄😄
Hizi wishful thinking bwana
 
Chadema ndo huwa nawaona wajinga hapo tu, yaani nyie kila kitu ni kupinga tu...manyumbu nyie bhana ni shida sana..!
Na manyumbu nao wakisema sisi ccm kila kitu Ni kushangilia tu Nani atakuwa nyumbu zaidi ya mwezake ??
 
Alijenga remote area. ..nani akakae huko. .kama Chattle tu..Muda utaongea
hata kambi ya jeshi inaweza kupafanya base,shida ya ngozi nyeusi, ni asili flani ya roho za kimasikini.

kwahiyo hata ikatokea chato ingejengwa dar hapa,stori zingekuwa hizi hizi,as long as aliyejenga ni magufuli.mbona kila siku watu wanaponda ujenzi wa madaraja na ma reli???
 
Charity begins at home! Uzuri ni kuwa chato ipo Tanzania! Kama malalamiko yanayoelekezwa kwa Mkuu yanalenga kutuaminisha kuwa Chato hapana hadhi katika Tanzania, ama basi yaliyofanywa huko yalipaswa kufanyika kaskazini tu itakuwa ni kumuonea mkuu.
Ukweli ni kuwa Chato haikustahili uwanja wa ndege wa hadhi hiyo, ni matumizi mabaya ya raslimali na madaraka. Namuunga mkono JPM ktk mengine lkn si katika hili.

Ingekuwa heri kama huo uwanja ungejengwa makao makuu ya mkoa-Geita, sio wilayani. Kwa kuujienga huo uwanja Chato, maana yake ni kwamba Geita Halmashauri, haitakaa ipate uwanja wa ndege wa maana. Ni heri makao makuu ya Geita yahamie Chato. BTW, baada ya huo uwanja, sasa wawajengee Bandari.

Vv
 
Sawa tumeona ila nikujifariji tu kwamba chato napo patabadilika kuwa hivi, huyu alijenga kwao maporini huko, magufuli anajenga wilayani chato soon kuwa makao makuu ya mkoa mpya, sasa patabadilikaje kuwa hivi? [emoji1][emoji1][emoji1]
Hizi wishful thinking bwana
uliishawahi kukutana na mtu aliyekikatia tamaa kitu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16].

huwa anaanza kukitafutia kasoro.
 
hata kambi ya jeshi inaweza kupafanya base,shida ya ngozi nyeusi, ni asili flani ya roho za kimasikini.

kwahiyo hata ikatokea chato ingejengwa dar hapa,stori zingekuwa hizi hizi,as long as aliyejenga ni magufuli.mbona kila siku watu wanaponda ujenzi wa madaraja na ma reli???
Nyerere alijenga kwao uwanja wa ndege na traffic lights? ?magari yenyewe 100 hayafiki unaweka traffic lights
 
Charity begins at home! Uzuri ni kuwa chato ipo Tanzania! Kama malalamiko yanayoelekezwa kwa Mkuu yanalenga kutuaminisha kuwa Chato hapana hadhi katika Tanzania, ama basi yaliyofanywa huko yalipaswa kufanyika kaskazini tu itakuwa ni kumuonea mkuu.
Hata Gbadolite ipi Zaire . Tunachosema baada yake Chato itakuwa ya kazi gani ?!
 
Na Chato ikija kuwa hvyo utakuwa na uzembe wetu kutoendeleza vya kale.
Unataka kutuambia kuwa Chato itakuja kuwa hivyo?
Astafulilahi wallai!
Mbna reli ya mkolon tunaitumia hadi leo, majengo ya wakoloni tumeyarithi, shule zao na mengineyo meeeeeeeeengi sembuse Chato
 
Back
Top Bottom