Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu Akili ziko matakoni sijui, Kwahiyo mnadhani Chato itakuwa Gofu, Endeleeni kudhani.
Mkuu mbona umepaniki? Huu uzi unahusu Gbadolite sasa chato imekujaje?Watu Akili ziko matakoni sijui, Kwahiyo mnadhani Chato itakuwa Gofu, Endeleeni kudhani.
...Ninaona kama vile kuanzia kwenye Vitabu vitakatifu hadi karne yetu hii kila Mtawala aliyejaribu kujenga Pepo yake hapa duniani, aliishia mwisho mbaya...Tumekusikia.
Akili za makalioni hizi. Uzi unazungumzia kijiji cha Mobutu we unaleta habari za Chato.Watu Akili ziko matakoni sijui, Kwahiyo mnadhani Chato itakuwa Gofu, Endeleeni kudhani.
Mkuu mbona umepaniki? Huu uzi unahusu Gbadolite sasa chato imekujaje?
Acha jazba za kike.Watu Akili ziko matakoni sijui, Kwahiyo mnadhani Chato itakuwa Gofu, Endeleeni kudhani.
Nayo itakuwa magofu tu. Let us wait and see.
Macho yetu yote yameelekezwa Chato.
Maoni yako nitofauti na donor country. AKA nchi ya ahadi....Ninaona kama vile kuanzia kwenye Vitabu vitakatifu hadi karne yetu hii kila Mtawala aliyejaribu kujenga Pepo yake hapa duniani, aliishia mwisho mbaya...
Sehemu kukiwa wanazungumziwa watu wanaolawitiwa halaf ukaskia mtu anakasirika basi huyo analawitiwa tu. Hamna ubishi.
Hahaa simba wengi kuliko swalaBurigi ileee km nawaona wanyama watakavyodisappear
Akili za kuvuliwa chupi hizi!! Umeona jina la Chato hapo?Watu Akili ziko matakoni sijui, Kwahiyo mnadhani Chato itakuwa Gofu, Endeleeni kudhani.
Kweli nimeamini wanawake hampendani, sasa hapo huoni unajidhalilisha kwa kusema aache jazba za kike? Wenyewe ndio mnajidharau, sijui ni lini wanawake mtajifunzaAcha jazba za kike.
Ha ha ha ha ha ha ha, nacheka kinyantuzu hapa.Ile ofisi ya spika Tabora sijui ipo hali gani kwa sasa