Hapa ni kwa Fundi Muwa Tandika ziliposhonwa suti za wachezaji Yanga

hahahaa yanga walifanya attempt ya kuua brand, mchizi alikua mjanja kuchukua video mapema now imetumika kama backup
eti wanawaambia watu zimenunuliwa Italy,mwana akarusha backup
 
Kama fundi ni wa tandale, kajitahidi kwakweli.

Ila viongozi wa utopolo sijui wanawachukuliaje mashabiki wa timu yao.
 
Kinachouma zaidi ni kwalipia nauli ya ndege na malazi timu ya Zanaco alafu wanawaharibia shughuli,icho tu ndo kinakera[emoji23][emoji28]
 
Hilo ndio tatizo la kuwa jobless..
Utaolewa na kuachika mpaka lini?
 
Hata kama kwani kashona bure, na alie kwambia zimetoka Italy ni nani?
Unajitekenya na kucheka mwenyewe. Kama ni kweli zimeandaliwa bongo. Big up sana kwa fundi huyo yupo vizuri sana. Kama unamjua si umbea , nipe namba yake nifanye naye biashara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…