Hapa ni kwaajili ya member watakaofika kwenye party wakiwa na pesa mkononi

Fungulia mbwa itakuwepo baada ya 'female evacuation'... Yani wakati watoto wakare kama Mzigua90 'wameshaondolewa' eneo la tukio na wabebishaji maarufu kama Nichumu Nibebike, wengine ndio mtaruhusiwa sasa kuingia!
Hahaha
 
Kwa hiyo mtaungana kwenye ku party au kila kundi (pre-payers na post-payers) litafurahia kivyake na kwa utaratibu wake?
Tutajumuika ila tutakua tunajinunulia wenyewe mazaga zaga tofauti
 
Umeuliza swali zuri sana, mfumo uko ivi party ya kwenye mitandao haswa yenye fake ID's hakuna anamuamini mwenzie kwahiyo inabidi tukusanye pesa kwenye vibubu vyetu halafu tutaonana siku yenyewe
POINT,tujue venue tu itatosha.Kila mutu akuye na mufuko wake ATOMBOKE KWA RAHA ZAKE.Na iwe marufuku kuulizana vitu visivyokuwa vya msingi mwenzako akilewa.
 
Fungulia mbwa itakuwepo baada ya 'female evacuation'... Yani wakati watoto wakare kama Mzigua90 'wameshaondolewa' eneo la tukio na wabebishaji maarufu kama Nichumu Nibebike, wengine ndio mtaruhusiwa sasa kuingia!
Kwan mzigua90 ni mkare, mi nlijua ni mbibi, ila mnajipa promo safi, km ile tangazo la Jambo Kubwa, Jambo ndogo na Jambo Katikati, promo muhimu ili victims wajae [emoji28][emoji28][emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…