moto wa maji
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 4,151
- 2,979
- Thread starter
- #81
Pesa ni mkononi ila Chamsingi ni venue na tarehe husika vingine mbwembwe tuSasa hiyo party itaandaliwaje kama msipolipia?
Duuuh! Kazi ipo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pesa ni mkononi ila Chamsingi ni venue na tarehe husika vingine mbwembwe tuSasa hiyo party itaandaliwaje kama msipolipia?
Duuuh! Kazi ipo.
Duh kulipiwa nako yataka tafakuri ya kina!ntakulipia mimi siendi
Usisahau rasta!Ntakuja na gutaa!!
Hahahah yani kupenda kwako dezzo kumefika kiwang hiki..!!!Ambao hatuna pesa kabisa fungulia mbwa IPO??
Hahahahaaaa!! Chizi wewe.We nilikwambia uniambie uliko nije kukuchukua ukaniletea story mob.. Ukakosa mbusi hivihivi teh teh..
Usinikimbie mimi sijawa yule mzushi wa US..
Hakuna omba omba jf, member wote tuna magari na kazi nzuriambao hawatakuwa na pesa waje niwaone pale pale naweza nikawalipia ila wasizidi 18, waje na sababu za msingi kwanini walipiwe hapo hapo
Sasa tufanye tukutane kule mgombani..Hahahahaaaa!! Chizi wewe.
Sikukukimbia bwana, nilichelewa kuona ujumbe. This time usiponikaribisha nakuja mwenyewe.
Nitashukuru sana kiongozi wanguntakulipia mimi siendi
Naomba nami unilipie dadaTutaonana can’t wait walahi!
Mkuu niilipie basi nami nikajumuike Na wengineHahahah yani kupenda kwako dezzo kumefika kiwang hiki..!!!
Karibu sana mkuuNtakuja na gutaa!!
Mkuu kwani huyo ni Dada?Naomba nami unilipie dada
Kuwa makini hapa mjini ndugu yangu kupenda kulipiwa na Wanaume sio kaliba nzuri. Lahasha kuna kiungo kitakuja kupata maumiv sanaMkuu niilipie basi nami nikajumuike Na wengine
Hahaaaaa mkuu nawatania tuKuwa makini hapa mjini ndugu yangu kupenda kulipiwa na Wanaume sio kaliba nzuri. Lahasha kuna kiungo kitakuja kupata maumiv sana
in ke mkuuMkuu kwani huyo ni Dada?
Wew ni ke?in ke mkuu
Umenena sawa mkuuGood Idea
NdiiooWew ni ke?