Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Hahahaha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaa watu hamtaki kupigwa changaMjini hapa! Ebo!
Tutakutana siku hiyo walahi!
Hamna kuulizana ID YA JF walahi
AiseeeBajeti ya million na nusu inahitaji miezi mitatu kupangwa?
Watu 50 walio serious wangeweza kutoa hizo pesa mwanzoni mwa December na party yao ikafanyika. Kuchangishana pesa mwezi wa 9 na party ni December hapo katikati mweka hazina anaweza kuingiwa na tamaa alafu mwisho wa siku ikawa lawama..
Yuphahaa watu hamtaki kupigwa changa
Sikujua kama suala hili limehusishwa na imani za kitapeli... nilijua sio mara ya kwanza watu kufanya party pia nikasikia aliye organize party ni verified user so moja kwa moja nikatoa imani ya uoga....Bajeti ya million na nusu inahitaji miezi mitatu kupangwa?
Watu 50 walio serious wangeweza kutoa hizo pesa mwanzoni mwa December na party yao ikafanyika. Kuchangishana pesa mwezi wa 9 na party ni December hapo katikati mweka hazina anaweza kuingiwa na tamaa alafu mwisho wa siku ikawa lawama..
Poa mkuu limefikausinisahau mkuu
Siongelei utapeli, najua kunaweza kusiwe na huo utapeli.. Time frame ndio shida hapo..Sikujua kama suala hili limehusishwa na imani za kitapeli... nilijua sio mara ya kwanza watu kufanya party pia nikasikia aliye organize party ni verified user so moja kwa moja nikatoa imani ya uoga....
Kuhusu mwezi hata harusi ili watu wakuchangie ni lazima utangaze miezi mitatu kabla, huwezi ukasema wiki ijayo naoa/naolewa nichangieni.
Maandalizi ni mengi kuliko hata huo mchango, anyway, wenye imani watachanga wasio na imani ndio kama hivyo wamebuni mbinu yao.
hhahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!nimecheka!eti mtu akilewa! kama ntu anakichwa chepesi akilewa arudi mapemaaaaPOINT,tujue venue tu itatosha.Kila mutu akuye na mufuko wake ATOMBOKE KWA RAHA ZAKE.Na iwe marufuku kuulizana vitu visivyokuwa vya msingi mwenzako akilewa.
Nimekuelewa kaka mkubwa naimani waandaaji watafanyia kazi ushauri wako.Siongelei utapeli, najua kunaweza kusiwe na huo utapeli.. Time frame ndio shida hapo..
Hiyo pesa inayochangwa ni ndogo na inakaa kwa muda mrefu kwenye account binafsi ya mtu. Chochote kinaweza kutokea, zikaja lawama baadae..
Harusi ni tofauti kabisa na hiyo party, harusi unaongelea budget ya 20M+ na kuna dawn payments nyingi unatakiwa kulipa kabla ya deadline.. Na pia kiasi cha michango ni kikubwa kuanzia kwa wanakamati na kwa wageni wengineo. Harusi ambazo binafsi nimeshiriki kama mwanakamati kiasi cha chini kwa kila mwanakamati ni laki 2.. Sasa hauwezi kuweka mwezi mmoja au miwili kwa kiasi kama hicho..
Sasa elfu 30, tena kwa budget ya watu 50 pesa inakusanywa kwa muda wote huo ndio hii inaleta migogoro. Waandaaji ningewashauri wangeanza tu kukusanya pesa wiki ya mwisho ya mwezi 11 na mwezi wa 12 mapema hayo maandalizi yaanze..
Unless otherwise tukubaliane wanaJF elfu 30 kwetu ni mtihani ndio maana tunaikusanya kwa takribani miezi minne.
Acha ubishi mangi, changia nami nakusubiri unilipie hivyo.Siongelei utapeli, najua kunaweza kusiwe na huo utapeli.. Time frame ndio shida hapo..
Hiyo pesa inayochangwa ni ndogo na inakaa kwa muda mrefu kwenye account binafsi ya mtu. Chochote kinaweza kutokea, zikaja lawama baadae..
Harusi ni tofauti kabisa na hiyo party, harusi unaongelea budget ya 20M+ na kuna dawn payments nyingi unatakiwa kulipa kabla ya deadline.. Na pia kiasi cha michango ni kikubwa kuanzia kwa wanakamati na kwa wageni wengineo. Harusi ambazo binafsi nimeshiriki kama mwanakamati kiasi cha chini kwa kila mwanakamati ni laki 2.. Sasa hauwezi kuweka mwezi mmoja au miwili kwa kiasi kama hicho..
Sasa elfu 30, tena kwa budget ya watu 50 pesa inakusanywa kwa muda wote huo ndio hii inaleta migogoro. Waandaaji ningewashauri wangeanza tu kukusanya pesa wiki ya mwisho ya mwezi 11 na mwezi wa 12 mapema hayo maandalizi yaanze..
Unless otherwise tukubaliane wanaJF elfu 30 kwetu ni mtihani ndio maana tunaikusanya kwa takribani miezi minne.
Hiki kitu ingependeza tarehe hiyohiyo ikafanyika na sehemu zote hata wale wanajiitaga diaspora wangepiga party hiko waliko naona ingemake sense sana.Habari wakuu..
Kwa wale watakaoshiriki party ila wakiwa na pesa mkononi tufahamiane hapa ili tujue idadi siku ikifika tutakapoenda eneo la tukio pale pale tukusanye mchango wetu na sisi tule huyo bata kama waliotuma mapema kwenye namba flani..
Hahahahaha hayo mambo mimi siyawezi.. Kwanza hiyo elfu 30 kwangu mtihani..Acha ubishi mangi, changia nami nakusubiri unilipie hivyo.
Unavyotoa ushauri hapa nokajua we unayo kumbe mwenzangu tu!!! Si ndio maana tumepewa muda wa kutosha ili tuitafute jamani.Hahahahaha hayo mambo mimi siyawezi.. Kwanza hiyo elfu 30 kwangu mtihani..
We umelipia? Lipa ukakutane na yule swaiba wako ulokuwa unamkimbia [emoji23][emoji23]
Nipo, nilikuwa porini shamba napulizia mikorosho yangu.. Si unajua msimu ndo unaanza huu..Unavyotoa ushauri hapa nokajua we unayo kumbe mwenzangu tu!!! Si ndio maana tumepewa muda wa kutosha ili tuitafute jamani.
Mie lazima niende, huyo rafiki yako kama atakuwepo nitamuona tu.
BTW ulipotelea wapi?
Nipo, nilikuwa porini shamba napulizia mikorosho yangu.. Si unajua msimu ndo unaanza huu..
Hiyo elfu 30 ntaenda kuchoma mbuzi pale changbay kujipumzisha kidogo tayari kwa kumalizia safari ya kupanda mlimani.. December hiyoooo mamaa..
We nilikwambia uniambie uliko nije kukuchukua ukaniletea story mob.. Ukakosa mbusi hivihivi teh teh..This time usiponialika nakununia.
ntakulipia mimi siendiAmbao hatuna pesa kabisa fungulia mbwa IPO??