Hapa ni kwaajili ya member watakaofika kwenye party wakiwa na pesa mkononi

Bajeti ya million na nusu inahitaji miezi mitatu kupangwa?

Watu 50 walio serious wangeweza kutoa hizo pesa mwanzoni mwa December na party yao ikafanyika. Kuchangishana pesa mwezi wa 9 na party ni December hapo katikati mweka hazina anaweza kuingiwa na tamaa alafu mwisho wa siku ikawa lawama..
Aiseee
 
Sikujua kama suala hili limehusishwa na imani za kitapeli... nilijua sio mara ya kwanza watu kufanya party pia nikasikia aliye organize party ni verified user so moja kwa moja nikatoa imani ya uoga....
Kuhusu mwezi hata harusi ili watu wakuchangie ni lazima utangaze miezi mitatu kabla, huwezi ukasema wiki ijayo naoa/naolewa nichangieni.
Maandalizi ni mengi kuliko hata huo mchango, anyway, wenye imani watachanga wasio na imani ndio kama hivyo wamebuni mbinu yao.
 
Siongelei utapeli, najua kunaweza kusiwe na huo utapeli.. Time frame ndio shida hapo..

Hiyo pesa inayochangwa ni ndogo na inakaa kwa muda mrefu kwenye account binafsi ya mtu. Chochote kinaweza kutokea, zikaja lawama baadae..

Harusi ni tofauti kabisa na hiyo party, harusi unaongelea budget ya 20M+ na kuna dawn payments nyingi unatakiwa kulipa kabla ya deadline.. Na pia kiasi cha michango ni kikubwa kuanzia kwa wanakamati na kwa wageni wengineo. Harusi ambazo binafsi nimeshiriki kama mwanakamati kiasi cha chini kwa kila mwanakamati ni laki 2.. Sasa hauwezi kuweka mwezi mmoja au miwili kwa kiasi kama hicho..

Sasa elfu 30, tena kwa budget ya watu 50 pesa inakusanywa kwa muda wote huo ndio hii inaleta migogoro. Waandaaji ningewashauri wangeanza tu kukusanya pesa wiki ya mwisho ya mwezi 11 na mwezi wa 12 mapema hayo maandalizi yaanze..

Unless otherwise tukubaliane wanaJF elfu 30 kwetu ni mtihani ndio maana tunaikusanya kwa takribani miezi minne.
 
Nimekuelewa kaka mkubwa naimani waandaaji watafanyia kazi ushauri wako.
 
Acha ubishi mangi, changia nami nakusubiri unilipie hivyo.
 
Habari wakuu..

Kwa wale watakaoshiriki party ila wakiwa na pesa mkononi tufahamiane hapa ili tujue idadi siku ikifika tutakapoenda eneo la tukio pale pale tukusanye mchango wetu na sisi tule huyo bata kama waliotuma mapema kwenye namba flani..
Hiki kitu ingependeza tarehe hiyohiyo ikafanyika na sehemu zote hata wale wanajiitaga diaspora wangepiga party hiko waliko naona ingemake sense sana.

Mfano
JF Arusha wing
JF mwanza wing
JF mbeya wing
JF diaspora wing (kulingana na walipo)
Etc etc...........

Ni wazo tu!

ANGALIZO
sio maandamano ni party maana kuna watu hapa hawachelewe kureport kuwa tutaandamana kisa event kufanyika same date maeneo tofauti.
 
Acha ubishi mangi, changia nami nakusubiri unilipie hivyo.
Hahahahaha hayo mambo mimi siyawezi.. Kwanza hiyo elfu 30 kwangu mtihani..

We umelipia? Lipa ukakutane na yule swaiba wako ulokuwa unamkimbia [emoji23][emoji23]
 
Unavyotoa ushauri hapa nokajua we unayo kumbe mwenzangu tu!!! Si ndio maana tumepewa muda wa kutosha ili tuitafute jamani.

Mie lazima niende, huyo rafiki yako kama atakuwepo nitamuona tu.

BTW ulipotelea wapi?
 
Nipo, nilikuwa porini shamba napulizia mikorosho yangu.. Si unajua msimu ndo unaanza huu..

Hiyo elfu 30 ntaenda kuchoma mbuzi pale changbay kujipumzisha kidogo tayari kwa kumalizia safari ya kupanda mlimani.. December hiyoooo mamaa..
 
This time usiponialika nakununia.
 
This time usiponialika nakununia.
We nilikwambia uniambie uliko nije kukuchukua ukaniletea story mob.. Ukakosa mbusi hivihivi teh teh..

Usinikimbie mimi sijawa yule mzushi wa US..
 
Back
Top Bottom