Hapa ni kwaajili ya member watakaofika kwenye party wakiwa na pesa mkononi

Hapa ni kwaajili ya member watakaofika kwenye party wakiwa na pesa mkononi

We nilikwambia uniambie uliko nije kukuchukua ukaniletea story mob.. Ukakosa mbusi hivihivi teh teh..

Usinikimbie mimi sijawa yule mzushi wa US..
Hahahahaaaa!! Chizi wewe.
Sikukukimbia bwana, nilichelewa kuona ujumbe. This time usiponikaribisha nakuja mwenyewe.
 
Back
Top Bottom