Hapa ni kwaajili ya member watakaofika kwenye party wakiwa na pesa mkononi

naomba wahusika waandae car parking ya capacity ya wahudhuriaji, mana tunajua members ote wa JF wana miliki mikoko tena ya maana. Msije mkatuandalia parking ya VITS na Passo wakati watu wanakuja na magari ya maana! Kutoka huku Kibaigwa, nitakuja na tractor bila trailer!
 
Kwanini sasa usilipe mapema ili bajeti ikapangwa??
Bajeti ya million na nusu inahitaji miezi mitatu kupangwa?

Watu 50 walio serious wangeweza kutoa hizo pesa mwanzoni mwa December na party yao ikafanyika. Kuchangishana pesa mwezi wa 9 na party ni December hapo katikati mweka hazina anaweza kuingiwa na tamaa alafu mwisho wa siku ikawa lawama..
 
ambao hawatakuwa na pesa waje niwaone pale pale naweza nikawalipia ila wasizidi 18, waje na sababu za msingi kwanini walipiwe hapo hapo
 
Mantiki ya kuchanga ni kwa ajili ya maandalizi ikiwemo kutoa order mapema ili kupata vitu vitakavyohitajika.

Sasa kama hamna order mchango wa nini tena
Mkuu vitu vinauzwa pale pale sio hadi order ifanyike mapema
 
Usijali mkuu mi ntakuja helicopter
 
Hizo pesa za kuchanga mapema hapana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…