Hapa ni wapi?

Hapa ni wapi?

Majibu yako...
If upo shule unachapwa kuliko yule aliyekosa swali kabisa...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ... majibu ya kuamsha hisia za walimu haya
Yaani yanampa mwalimu suspense🀣🀣🀣🀣🀣🀣,amalize mwenyewe swali
 
Sema hapa hata me sipajua ngoja nikubali tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Usikubali kirahisi,hapo tukiistudy hiyo picha upande wa north East,utaona Kuna Nguzo tatu za umeme,ambazo kimsingi Jangwani hazipo,ukiangalia vizuri north west Kuna kimwinuko ambacho pia jangwani hakipo,,,Kwa hiyo hapa pamefanana sana na Jangwani lkn sio jangwani
 
Sawa mtaalamu wa photography
πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nimekubali hiyo north east yaani NE(90) πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Leteni nyingi nyingi basi....mmenikumbusha nilivyokuwa mwanafunzi Hilo somo la photography interpretation lilikuwa kama juice ya tende
Ngoja tukupe za kufikilisha kwanza tuone je ni kweli hayo .. nakutafutia na kilosa map πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Hii ni wapi .. ukitaja mkoa tuu basi toa na evidence
images (3).jpeg
 
Back
Top Bottom