Mrs Byesige
JF-Expert Member
- Nov 5, 2019
- 862
- 1,549
HapanaJohnes Corner Iringa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HapanaJohnes Corner Iringa.
Iyo ni iringa Mzee baba
Njiapanda pale😛Eneo gani specifically
Sijapita kama miaka 3 nishasahau .ila vibao vya huko viko kumkichwa
Nakubaliana na aliyesema Iringa, nadhani ni pale unapokaribia darajani (ukienda mbele hapo kushoto kuna Puma na kulia daraja) ukiwa umetokea Iringa mjiniSijapita kama miaka 3 nishasahau .ila vibao vya huko viko kumkichwa
Iyo ni iringa Mzee baba
Yaaah kakaNakubaliana na aliyesema Iringa, nadhani ni pale unapokaribia darajani (ukienda mbele hapo kushoto kuna Puma na kulia daraja) ukiwa umetokea Iringa mjini