Ntalishughulikia kazi hiliBasi kama upo clean, kuna mawili hapa
1. MUNGU/SHETANI AMEAMUA KUWAVURUGA{KAMA MNAFANYA UZINZI MAANAKE HAMJAONA BASI MUNGU KAAMUA KUINGILIA UGOMVI MAANA UNA ROHO CHAFU YA KUUA, NAMAANISHA UNGEKUJA KUMCHOMA TU KISU HATA KAMA SI KWA SABABU YA MAPENZI.
2. KUNA KITU ANAKIKOSA KWAKO NA ANAKIPATA KWA HUYO MWENZAKE.
3. INAWEZEKANA ANATAFUTA PEACE OF MIND, MAANAKE KUMBUKA "MWANAUME AKICHANGANYIKIWA, MWANAMKE HUMTULIZA, NA MWANAUME AKITULIA BASI MWANAMKE HUWA ANAMCHANGANYA"
Basi usimpeBado.bikra
Njoo tuongee biashara.PC ninayo ila hajaniuliza chochote
Mengine ni kujitafutia matatizo yasiyo na lazima.Anakupa uhai??? Usijipe matatizo amka sepa
Huko ni kujipa umuhimu Kwa mtu ambaye Hana mpango na wewe zaid ya matumiz yake binafsiMengine ni kujitafutia matatizo yasiyo na lazima.
Hawa ndio wanaotumia oxygen na neema nyingine za mungu vibaya... Mtu hujazaliwa nae, mtu mmejuliana ukubwani tu, yake anatembea nayo, nawe yako uko nayo ndani ya kyupi nini shida?Huko ni kujipa umuhimu Kwa mtu ambaye Hana mpango na wewe zaid ya matumiz yake binafsi
Yaani uchomoe trigger kisha ulalamikie bomu kukutoa machozi kweli kuna ukosefu wa kitu kichwani mwako, linywe tu si umemchunguza bata ulitaka nini zaidi!Sasa hapo tatizo ni wewe au yeye?
Kesi ishakuwa ngumu hukuYeye tu
Yapo nitakutafutia moja ulichome chome visu.Mananasi adimu mno
Watoto wa kike sikuhizi wanawathamin wanaume zaid ya wazaz waoHawa ndio wanaotumia oxygen na neema nyingine za mungu vibaya... Mtu hujazaliwa nae, mtu mmejuliana ukubwani tu, yake anatembea nayo, nawe yako uko nayo ndani ya kyupi nini shida?
Ukiona mtu anakupa stress badala ya raha, hapo sio pa kukaa.
Onfoka mpo wengiHuyu mkaka mbona ananichezea akili. Leo kaniita nikaenda kwake kwa madai ya kunimiss. Kuna kazi nilimkuta anafanya kwenye PC ila baadae alichomoka nje mara moja Ile PC ikadisplay WhatsApp.
Mimi ni mbea nikataka kujua tupo wangapi nikachokonoa chats nikakuta ananicheat na Florina.
Baadae aliporudi akaniuliza mbona mnyonge nikavunga hakujua nimechokonoa. Akaanza kuniambia ananipenda mimi tu na sio mwingine na mimi nimemteka moyo wake.
Muda hanipi anapewa Florina, kubembelezwa yeye, simu kama zote kupigiwa yeye, tena anamuita mke.
Nipasue hii PC au niondoke nayo nikauze?
Samahani kwa mliochelewa hii post nliweka evidence ila nmefuta🙏
Njoo kwangu tuyajenge 😛Najitenga kweupe
Leave him come to me ladyHuyu mkaka mbona ananichezea akili. Leo kaniita nikaenda kwake kwa madai ya kunimiss. Kuna kazi nilimkuta anafanya kwenye PC ila baadae alichomoka nje mara moja Ile PC ikadisplay WhatsApp.
Mimi ni mbea nikataka kujua tupo wangapi nikachokonoa chats nikakuta ananicheat na Florina.
Baadae aliporudi akaniuliza mbona mnyonge nikavunga hakujua nimechokonoa. Akaanza kuniambia ananipenda mimi tu na sio mwingine na mimi nimemteka moyo wake.
Muda hanipi anapewa Florina, kubembelezwa yeye, simu kama zote kupigiwa yeye, tena anamuita mke.
Nipasue hii PC au niondoke nayo nikauze?
Samahani kwa mliochelewa hii post nliweka evidence ila nmefuta🙏
Njoo inbox tuzungumze Vizuri unipe mkasa mzima na mieenendo ya maisha yenu hapo kabla ya hili tukio nisije hukumu kimakosa pengeni wewe ndio chanzo.Ushauri upi
Wacha yawakuteWatoto wa kike sikuhizi wanawathamin wanaume zaid ya wazaz wao