Hapa nikimchoma mtu kisu ni kosa?

Hapa nikimchoma mtu kisu ni kosa?

Basi kama upo clean, kuna mawili hapa
1. MUNGU/SHETANI AMEAMUA KUWAVURUGA{KAMA MNAFANYA UZINZI MAANAKE HAMJAONA BASI MUNGU KAAMUA KUINGILIA UGOMVI MAANA UNA ROHO CHAFU YA KUUA, NAMAANISHA UNGEKUJA KUMCHOMA TU KISU HATA KAMA SI KWA SABABU YA MAPENZI.

2. KUNA KITU ANAKIKOSA KWAKO NA ANAKIPATA KWA HUYO MWENZAKE.

3. INAWEZEKANA ANATAFUTA PEACE OF MIND, MAANAKE KUMBUKA "MWANAUME AKICHANGANYIKIWA, MWANAMKE HUMTULIZA, NA MWANAUME AKITULIA BASI MWANAMKE HUWA ANAMCHANGANYA"
Ntalishughulikia kazi hili
 
Trump kakata misaada ya ngo za kuwaletea wafungwa sabuni huko magereza.
 
Huko ni kujipa umuhimu Kwa mtu ambaye Hana mpango na wewe zaid ya matumiz yake binafsi
Hawa ndio wanaotumia oxygen na neema nyingine za mungu vibaya... Mtu hujazaliwa nae, mtu mmejuliana ukubwani tu, yake anatembea nayo, nawe yako uko nayo ndani ya kyupi nini shida?
Ukiona mtu anakupa stress badala ya raha, hapo sio pa kukaa.
 
Watoto wa kike sikuhizi wanawathamin wanaume zaid ya wazaz wao
 
Huyu mkaka mbona ananichezea akili. Leo kaniita nikaenda kwake kwa madai ya kunimiss. Kuna kazi nilimkuta anafanya kwenye PC ila baadae alichomoka nje mara moja Ile PC ikadisplay WhatsApp.

Mimi ni mbea nikataka kujua tupo wangapi nikachokonoa chats nikakuta ananicheat na Florina.

Baadae aliporudi akaniuliza mbona mnyonge nikavunga hakujua nimechokonoa. Akaanza kuniambia ananipenda mimi tu na sio mwingine na mimi nimemteka moyo wake.

Muda hanipi anapewa Florina, kubembelezwa yeye, simu kama zote kupigiwa yeye, tena anamuita mke.

Nipasue hii PC au niondoke nayo nikauze?

Samahani kwa mliochelewa hii post nliweka evidence ila nmefuta🙏
Onfoka mpo wengi
 
Leave him come to me lady
 
Back
Top Bottom