To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
Hatari sanaHuyo anajitaftia matatizo, kama kaona anasalitiwa afanye maamuzi na sio kuleta dhahma.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatari sanaHuyo anajitaftia matatizo, kama kaona anasalitiwa afanye maamuzi na sio kuleta dhahma.
Njoo huku nikupe ushauri nasaha achana na huyo tapeli.Huyu mkaka mbona ananichezea akili. Leo kaniita nikaenda kwake kwa madai ya kunimiss. Kuna kazi nilimkuta anafanya kwenye PC ila baadae alichomoka nje mara moja Ile PC ikadisplay WhatsApp.
Mimi ni mbea nikataka kujua tupo wangapi nikachokonoa chats nikakuta ananicheat na Florina.
Baadae aliporudi akaniuliza mbona mnyonge nikavunga hakujua nimechokonoa. Akaanza kuniambia ananipenda mimi tu na sio mwingine na mimi nimemteka moyo wake.
Muda hanipi anapewa Florina, kubembelezwa yeye, simu kama zote kupigiwa yeye, tena anamuita mke.
Nipasue hii PC au niondoke nayo nikauze?
Kupenda lazimaHalf american umeona mapenzi zilivyo sikuhizi....yaan unaweka roho yako rehani🙌