FRANCIS DA DON JF-Expert Member Joined Sep 4, 2013 Posts 38,920 Reaction score 44,970 Jul 25, 2024 #1 Tatizo ni mahali nilipo mnara wa Airtel unasumbua au wa Voda au nini? Mitandao mingine tunasikilizana vizuri.. Msaada
Tatizo ni mahali nilipo mnara wa Airtel unasumbua au wa Voda au nini? Mitandao mingine tunasikilizana vizuri.. Msaada
S Samirah77 Member Joined Mar 17, 2024 Posts 21 Reaction score 29 Aug 3, 2024 #2 Mwnyew nna airtel watu nnao chat nao wanaorumia halotel mwanzon wanapata sms zng ila Kuna mda sms zang hazifiki kwao cjuy shda ni nn mm zao naziona wao zang hawazion💔🥺
Mwnyew nna airtel watu nnao chat nao wanaorumia halotel mwanzon wanapata sms zng ila Kuna mda sms zang hazifiki kwao cjuy shda ni nn mm zao naziona wao zang hawazion💔🥺