Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Unampata mwanaume mchekeshaji ana pesa. Unaenda kutoka tena na mwanaume mkimya hana pesa. Ukimpata mwanaume MKIMYA unaenda kutoka na mwanaume MCHEKESHAJI.
Ukimpata mwanaume hana PESA unaenda kutoka na ASIYE NA PESA. Ukimpata ASIYE NA PESA unaenda kutoka na MWENYE PESA.
DADA ZANGU MNATAKA NINI? Jamaa yangu toka juzi anakaa tu anatokwa machozi kila akiangalia simu yake haamini. Mchumba wake kaenda liwa na jamaa mwingine kifala sana.
Ananionesha video anasema "Tena jamaa mwenyewe ana kamashine kadogo sana na wakati yeye ana mashine kubwa. Yaani hapo ndiyo panamchanganya sana"!
Amekuwa very frustrated baada ya kuzipata hizo clips ambazo mchumba aliomba kwa jamaa amtumie aziangalie amezimiss. Jamaa akamtembelea ghafla na kwa bahati mbaya akashika simu ya mchumba, ndiyo kukutana na maswahibu hayo.