Hapa nilipofika nimechoka, nisije pata ugonjwa unaokosa dawa. Wanawake mnataka nini?

Hapa nilipofika nimechoka, nisije pata ugonjwa unaokosa dawa. Wanawake mnataka nini?

[emoji23][emoji23] alijuaje ana kauboo kdogo ?

Hata nyie mpo hivyo hivyo mnapenda wanawake wenye mahips makubwa ,wanene wembamba,wenye chura wasio na chura

Siku zote mtu anataman kitu ambacho hana [emoji23]
Naked truth..mtu natamani kile ambacho hana.

Ndio nature ya mwanadamu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kwahapa nilipofika panatosha,usijefika ugonjwa nikakosa daawa.
Najua ninakiu na ww nitakunywa majii nituliee..

OTTU JAZZ BAND-BINTI MARINGO.
 
Ndo Maana mpk leo hatujui mwanamke na shetani waliongea mangapi pale edeni
IMG_20210914_111500.jpg
 
They are unpredictable.......tuishi nao kwa akili siyo jeuri.....our almight God said..
 
Back
Top Bottom