Mnafiki Wa Kujitegemea
JF-Expert Member
- Dec 30, 2022
- 3,751
- 6,337
Mimi labda aniombe kwa sababu za msingi na siyo kuninyima.Pole kijana una umri gani? Kwenye ndoa hayo ni kawaida sana
Kaa hapo sasa.Hakuna faida ya kupishanisha wanawake
Kwamba utambaka au ππ, mapenzi ni two ways traffic mzee yaani kuwe na ushirikiano wa pande zote. Kuna wanawake wakiamua kukaza aisee hutoboi kama mke wangu, maana vurugu atakazo leta hapo utaona tu haina haja tena, kubana mamiguu, kurusha mateke yaani vurugu tupu. Kwa sisi wakongwe tukishaon hali kama hiyo unaachana naye maisha ya ende, maana mtaishia kuumizana tu. Unajua hawa wenzetu kufanya mapenzi kwao ni hisia zaidi, so sometimes inategemea na mood zaoMimi labda aniombe kwa sababu za msingi na siyo kuninyima.
Lazima nitatimiza haja zangu awe amenuna ama hanitizami hayo atajua mwenyewe.
Tafuta mwanamke wa nje. Huyo wako analiwa nje amini usiaminiHuku ndoani ni vurugu mechi, wakati anapika nikamgusa, nikaambiwa " ushaanza mambo yako, subiri nipike kwanza"
Nikawa mpole, sasa tumemaliza kula, nikaambiwa aongee na mama ake alimpigia af ndo tulale, nikawa mpole.
Kamaliza kuongea anasema nimuache kidogo apunzike. Nikamuuliza hii ndo mpka kesho, akanijibu ataniambia.
Hapa nimekaa kwenye kiti ninahasira zisizo ongeleka.
Ingekua na ruhusa ningoa mke wa pili, au nitafute mchepuko. Haya mateso yanaharibu mood sana. Yani unakaa unaona mtu anaeweza kukusaidia yupo ila hupati unachokitaka.
Nahisi nitaanza kununua malaya kwa haya yanayoendela.
[emoji23][emoji23][emoji23]unalo...kawaida sana mbona...
Nimekosea kukujibu ila jibu ni post ya 108.Kwamba utambaka au ππ, mapenzi ni two ways traffic mzee yaani kuwe na ushirikiano wa pande zote. Kuna wanawake wakiamua kukaza aisee hutoboi kama mke wangu, maana vurugu atakazo leta hapo utaona tu haina haja tena, kubana mamiguu, kurusha mateke yaani vurugu tupu. Kwa sisi wakongwe tukishaon hali kama hiyo unaachana naye maisha ya ende, maana mtaishia kuumizana tu. Unajua hawa wenzetu kufanya mapenzi kwao ni hisia zaidi, so sometimes inategemea na mood zao