Hapa nimeshindwa kumwelewa Putin. Inawezekana kuna Uhuni anatufanyia yeye na Marekani

Minjingu Jingu

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2023
Posts
1,517
Reaction score
3,316
Yaani badala ya kusema aongeze ulinzi kukilinda kituo yeye anataka aondoe watu wake kipigwe vizuri? Na hiki ndo kituo pekee kilichobaki kinachofanya kazi baada ya vingine kuharibiwa na Mazayuni na Limarekani. Putin anatusaidiaje sisi watu wake huyu Beberu?

Screenshot_2026-01-29-19-22-34-433_com.instagram.android~2.jpg
 
Ndan ya siku 7 ataushangaza ulimwengu hahahaha
 
Yaani badala ya kusema aongeze ulinzi kukilinda kituo yeye anataka aondoe watu wake kipigwe vizuri? Na hiki ndo kituo pekee kilichobaki kinachofanya kazi baada ya vingine kuharibiwa na Mazayuni na Limarekani. Putin anatusaidiaje sisi watu wake huyu Beberu?

View attachment 3536187
Kwa idadi hii ya wataalam, huenda Urusi ndie anajenga na kuendesha hiyo mitambo ya nuclear.
 
Putin anawauza washirika wake Kila kukicha anacho tizama ni maslahi yake , maslahi yake Yakilindwa na USA basi anawauza tu Hana time na mtu. 😁
 
Yaani badala ya kusema aongeze ulinzi kukilinda kituo yeye anataka aondoe watu wake kipigwe vizuri? Na hiki ndo kituo pekee kilichobaki kinachofanya kazi baada ya vingine kuharibiwa na Mazayuni na Limarekani. Putin anatusaidiaje sisi watu wake huyu Beberu?

View attachment 3536187
Hapo kuna wafanyakazi (raia wa kawaida) tu na sio kambi ya Jeshi! Ingekuwa kambi ya Jeshi wasingeondoka ao.
 
hao ni raia hawatakiwi kuwepo eneo linalokuwa tagerted ni kama Trump alivyowapa raia wake tahadhari kuondoka mashariki ya kati
 
Back
Top Bottom