Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
daaaa,may bee,but tulishapotezeanaaLabda ANCHOSHWA na DISCUSSIONS za usiku... Maana ndy zao hizo
Mkuu hao mademu wa chuo ni PASUA KICHWA..bora wanaokwenda chuo na kurudi HOME... Ila hao wa hostel wengi wanaishia kama WANA NDOA... wakiwa hostel....yaani DUME linaishi na BINTI kama mkewe...wakati wazazi wanaamini BINTI YAO YUPO CHUO...au mchumba anaamini MCHUMBA wake yupo CHUO.. KUMBE kafungiwa na DUME na anapika na kupakuwa...NA Kufanya shughuli zote kama MKE WA MTU..nawapa POLE WENYE wachumba VYUONI...tena HOSTELdaaaa,may bee,but tulishapotezeanaa
Tuma hela za kutosha kufanya penzi lenu lisife, no one is strong against money and remember women are very weak for money.
Usitume sms, tuma hela atakutumia sms yeye mwenyewe.
Wajinga ndio waliwaoooooo.....Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu hapa Morogoro(SUA) nina mpenzi wangu ambaye naye yupo chuo kikuu Moshi (Mweka), lakini tangu aende chuo nimekua simuelewi kabisa.
Nikipiga simu anasema amechoka wakati zamani alikuwa anapiga hadi saa 7, sms nikituma hajibu nisipoanza hata anitafuti lakini nampenda sana.
Naombeni ushauri nifanye nini ili penzi letu lisivunjike?
Hicho ndo chuo gani kwanza??ni cha single sex kwani?hakuna madem hapo na wewe ukamatie??Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu hapa Morogoro(SUA) nina mpenzi wangu ambaye naye yupo chuo kikuu Moshi (Mweka), lakini tangu aende chuo nimekua simuelewi kabisa.
Nikipiga simu anasema amechoka wakati zamani alikuwa anapiga hadi saa 7, sms nikituma hajibu nisipoanza hata anitafuti lakini nampenda sana.
Naombeni ushauri nifanye nini ili penzi letu lisivunjike?
kweli mkuuMkuu hao mademu wa chuo ni PASUA KICHWA..bora wanaokwenda chuo na kurudi HOME... Ila hao wa hostel wengi wanaishia kama WANA NDOA... wakiwa hostel....yaani DUME linaishi na BINTI kama mkewe...wakati wazazi wanaamini BINTI YAO YUPO CHUO...au mchumba anaamini MCHUMBA wake yupo CHUO.. KUMBE kafungiwa na DUME na anapika na kupakuwa...NA Kufanya shughuli zote kama MKE WA MTU..nawapa POLE WENYE wachumba VYUONI...tena HOSTEL
[emoji1474][emoji1474][emoji23][emoji23][emoji23] kabisa naunga mkonyo hoja[/QUOT
Kwani mapenzi pesa mkuu??
nakubaliWajinga ndio waliwaoooooo.....
nikweli mkuuFimbo ya mbali haiui nyoka
asante mkkuuPiga moyo konde piga kitabu tafuta hela wanawake wako wengi tu.
Usijinyonge tu mkuu kisa kuachwa.
Bado UE za Statistics zinafanyikia Freedom Square?Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu hapa Morogoro(SUA) nina mpenzi wangu ambaye naye yupo chuo kikuu Moshi (Mweka), lakini tangu aende chuo nimekua simuelewi kabisa.
Nikipiga simu anasema amechoka wakati zamani alikuwa anapiga hadi saa 7, sms nikituma hajibu nisipoanza hata anitafuti lakini nampenda sana.
Naombeni ushauri nifanye nini ili penzi letu lisivunjike?
sawaa mkuuu,frdom badoo tunaitumiaa sanaaaBado UE za Statistics zinafanyikia Freedom Square?![]()
Msalimie Mr Sembuche
sawa mkuuMwache asepe tuu mkuuu