Hapa nishaibiwa au niendelee kujifariji?

daaaa,may bee,but tulishapotezeanaa
Mkuu hao mademu wa chuo ni PASUA KICHWA..bora wanaokwenda chuo na kurudi HOME... Ila hao wa hostel wengi wanaishia kama WANA NDOA... wakiwa hostel....yaani DUME linaishi na BINTI kama mkewe...wakati wazazi wanaamini BINTI YAO YUPO CHUO...au mchumba anaamini MCHUMBA wake yupo CHUO.. KUMBE kafungiwa na DUME na anapika na kupakuwa...NA Kufanya shughuli zote kama MKE WA MTU..nawapa POLE WENYE wachumba VYUONI...tena HOSTEL
 
Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu hapa Morogoro(SUA) nina mpenzi wangu ambaye naye yupo chuo kikuu Moshi (Mweka), lakini tangu aende chuo nimekua simuelewi kabisa.

Nikipiga simu anasema amechoka wakati zamani alikuwa anapiga hadi saa 7, sms nikituma hajibu nisipoanza hata anitafuti lakini nampenda sana.

Naombeni ushauri nifanye nini ili penzi letu lisivunjike?
Wajinga ndio waliwaoooooo.....
 
Hicho ndo chuo gani kwanza??ni cha single sex kwani?hakuna madem hapo na wewe ukamatie??
 
Mkuu hao mademu wa chuo ni PASUA KICHWA..bora wanaokwenda chuo na kurudi HOME... Ila hao wa hostel wengi wanaishia kama WANA NDOA... wakiwa hostel....yaani DUME linaishi na BINTI kama mkewe...wakati wazazi wanaamini BINTI YAO YUPO CHUO...au mchumba anaamini MCHUMBA wake yupo CHUO.. KUMBE kafungiwa na DUME na anapika na kupakuwa...NA Kufanya shughuli zote kama MKE WA MTU..nawapa POLE WENYE wachumba VYUONI...tena HOSTEL
kweli mkuu
 
Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu hapa Morogoro(SUA) nina mpenzi wangu ambaye naye yupo chuo kikuu Moshi (Mweka), lakini tangu aende chuo nimekua simuelewi kabisa.

Nikipiga simu anasema amechoka wakati zamani alikuwa anapiga hadi saa 7, sms nikituma hajibu nisipoanza hata anitafuti lakini nampenda sana.

Naombeni ushauri nifanye nini ili penzi letu lisivunjike?
Bado UE za Statistics zinafanyikia Freedom Square?
dcdc4bdd23b836b932d69c27714b33f6.jpg

Msalimie Mr Sembuche
 
Back
Top Bottom