kitokololoo
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 704
- 818
Yaani penzi lake wakule , sasa unataka na hela zake pia wakule .Tuma hela za kutosha kufanya penzi lenu lisife, no one is strong against money and remember women are very weak for money.
Usitume sms, tuma hela atakutumia sms yeye mwenyewe.
Moja:-- Soma sana = INCREASE KNOWLEDGEMimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu hapa Morogoro(SUA) nina mpenzi wangu ambaye naye yupo chuo kikuu Moshi (Mweka), lakini tangu aende chuo nimekua simuelewi kabisa.
Nikipiga simu anasema amechoka wakati zamani alikuwa anapiga hadi saa 7, sms nikituma hajibu nisipoanza hata anitafuti lakini nampenda sana.
Naombeni ushauri nifanye nini ili penzi letu lisivunjike?
Hamia MwekaMimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu hapa Morogoro(SUA) nina mpenzi wangu ambaye naye yupo chuo kikuu Moshi (Mweka), lakini tangu aende chuo nimekua simuelewi kabisa.
Nikipiga simu anasema amechoka wakati zamani alikuwa anapiga hadi saa 7, sms nikituma hajibu nisipoanza hata anitafuti lakini nampenda sana.
Naombeni ushauri nifanye nini ili penzi letu lisivunjike?
Kitambo
HahahHahaaa