Hapa nishaibiwa au niendelee kujifariji?

Hapa nishaibiwa au niendelee kujifariji?

Tuma hela za kutosha kufanya penzi lenu lisife, no one is strong against money and remember women are very weak for money.

Usitume sms, tuma hela atakutumia sms yeye mwenyewe.
Yaani penzi lake wakule , sasa unataka na hela zake pia wakule .
 
Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu hapa Morogoro(SUA) nina mpenzi wangu ambaye naye yupo chuo kikuu Moshi (Mweka), lakini tangu aende chuo nimekua simuelewi kabisa.

Nikipiga simu anasema amechoka wakati zamani alikuwa anapiga hadi saa 7, sms nikituma hajibu nisipoanza hata anitafuti lakini nampenda sana.

Naombeni ushauri nifanye nini ili penzi letu lisivunjike?
Moja:-- Soma sana = INCREASE KNOWLEDGE

Mbili:-- Tafuta hela sanaa = CREATE WEALTHY.

Hayo mengine POTEZEA.

#YNWA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu hapa Morogoro(SUA) nina mpenzi wangu ambaye naye yupo chuo kikuu Moshi (Mweka), lakini tangu aende chuo nimekua simuelewi kabisa.

Nikipiga simu anasema amechoka wakati zamani alikuwa anapiga hadi saa 7, sms nikituma hajibu nisipoanza hata anitafuti lakini nampenda sana.

Naombeni ushauri nifanye nini ili penzi letu lisivunjike?
Hamia Mweka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi sua imekuwaje rais namna hii
Mpaka wanafunzi wake wanateswa ns mapenzi🚮🚮🚮
 
Back
Top Bottom