Mtukutu wa Nyaigela
JF-Expert Member
- Sep 4, 2018
- 8,013
- 14,263
Tupe mrejesho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WE TATIZO USHASEMA UNAMPENDA...NDIO TATIZO LA VIJANA WA KU=IUME WA SASA HIVI..YANI HAPO INA MAANA UMEKAA HUNA MTU ILA HUYO HUYO ALIYE MKOA MWINGINE.....NDIO MAAN AUNAPATA TABU...ILIBIDI UWE NA LIST KAMA WATU 6 HAPO...AJABU UNALIA LIA ETI HUMUELEWI....SASA UNATAKA AKAE NA KUTU HIZO WAKATI KAKUTANA NA WAJANJA TENA WALIOTOKA DARMimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu hapa Morogoro(SUA) nina mpenzi wangu ambaye naye yupo chuo kikuu Moshi (Mweka), lakini tangu aende chuo nimekua simuelewi kabisa.
Nikipiga simu anasema amechoka wakati zamani alikuwa anapiga hadi saa 7, sms nikituma hajibu nisipoanza hata anitafuti lakini nampenda sana.
Naombeni ushauri nifanye nini ili penzi letu lisivunjike?
Mrejesho: hapa nishaibiwa au niendelee kujifariji..Tupe mrejesho
Piga Kitabu achana na mapenzi. Kama huna pesa hakuna mapenzi.Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu hapa Morogoro(SUA) nina mpenzi wangu ambaye naye yupo chuo kikuu Moshi (Mweka), lakini tangu aende chuo nimekua simuelewi kabisa.
Nikipiga simu anasema amechoka wakati zamani alikuwa anapiga hadi saa 7, sms nikituma hajibu nisipoanza hata anitafuti lakini nampenda sana.
Naombeni ushauri nifanye nini ili penzi letu lisivunjike?
Nakubk mkuuPiga Kitabu achana na mapenzi. Kama huna pesa hakuna mapenzi.
Vip mkuu mpak saiz upo nae kwan?Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu hapa Morogoro(SUA) nina mpenzi wangu ambaye naye yupo chuo kikuu Moshi (Mweka), lakini tangu aende chuo nimekua simuelewi kabisa.
Nikipiga simu anasema amechoka wakati zamani alikuwa anapiga hadi saa 7, sms nikituma hajibu nisipoanza hata anitafuti lakini nampenda sana.
Naombeni ushauri nifanye nini ili penzi letu lisivunjike?
Ha ha ha mkuu unampa ushaur leo wakat ilikua 2016?acha ufala fala wewe mwanaume unawezaje kupenda sana tumia akili...
Tuliachana mda huo huOVip mkuu mpak saiz upo nae kwan?
Apo sawa ,mbona vitu vingi vya msingi vya kufany brazakakaTuliachana mda huo huO
Hayo ni mawazo yako boss. Hujajua bado maana ya kupenda. Ninavyokusoma hapa wadhani kupata uchi wa mwanamke ndiyo kupendwa. Kupendwa ni zaidi ya hela mkuu. Uchi utaupata ndiyo lakini kama hupendwi hutaenjoy.Tuma hela za kutosha kufanya penzi lenu lisife, no one is strong against money and remember women are very weak for money.
Usitume sms, tuma hela atakutumia sms yeye mwenyewe.
Chuo cha mweka ni chuo cha international ,na kna soma watu wenye pesa ivyo ni rahis kushawishka hasa akikutana na wakenya na s.afrika au Botswana ,ww ilo unakabiliana nalo vip? Una mpaga hela?Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu hapa Morogoro(SUA) nina mpenzi wangu ambaye naye yupo chuo kikuu Moshi (Mweka), lakini tangu aende chuo nimekua simuelewi kabisa.
Nikipiga simu anasema amechoka wakati zamani alikuwa anapiga hadi saa 7, sms nikituma hajibu nisipoanza hata anitafuti lakini nampenda sana.
Naombeni ushauri nifanye nini ili penzi letu lisivunjike?
NakubaliChuo cha mweka ni chuo cha international ,na kna soma watu wenye pesa ivyo ni rahis kushawishka hasa akikutana na wakenya na s.afrika au Botswana ,ww ilo unakabiliana nalo vip? Una mpaga hela?
Fimbo ya mbali haiui nyokaMimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu hapa Morogoro(SUA) nina mpenzi wangu ambaye naye yupo chuo kikuu Moshi (Mweka), lakini tangu aende chuo nimekua simuelewi kabisa.
Nikipiga simu anasema amechoka wakati zamani alikuwa anapiga hadi saa 7, sms nikituma hajibu nisipoanza hata anitafuti lakini nampenda sana.
Naombeni ushauri nifanye nini ili penzi letu lisivunjike?
Tatizo unampa chai...jamaa anampa mkwanja...hauna chako dogoMimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu hapa Morogoro(SUA) nina mpenzi wangu ambaye naye yupo chuo kikuu Moshi (Mweka), lakini tangu aende chuo nimekua simuelewi kabisa.
Nikipiga simu anasema amechoka wakati zamani alikuwa anapiga hadi saa 7, sms nikituma hajibu nisipoanza hata anitafuti lakini nampenda sana.
Naombeni ushauri nifanye nini ili penzi letu lisivunjike?