Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora uumie kwa Mara moja kuliko kuendelea kuumia kila sikunimefikiria hayo maamuzi ya kumuacha lakini nashindwa najua nitaumia sana
Acha utoto,chunguza wanachuo wenzio wa kike hapo ulipo,wanavyoishi ndivyo anavyoishi na huyo wa kwako huko chuoni alipo,unasoma nao na haujawachunguza tu?ukue bhanaMimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu hapa Morogoro(SUA) nina mpenzi wangu ambaye naye yupo chuo kikuu Moshi (Mweka), lakini tangu aende chuo nimekua simuelewi kabisa.
Nikipiga simu anasema amechoka wakati zamani alikuwa anapiga hadi saa 7, sms nikituma hajibu nisipoanza hata anitafuti lakini nampenda sana.
Naombeni ushauri nifanye nini ili penzi letu lisivunjike?
mkuu za siku? Za law school?Nafikiri ndo dem nayemmega kwa sasa...coz amenilalamikia kwamba jamaa yake mchovu na bahili sana..ata vocha hajiongezi...