Mzee Kijana
JF-Expert Member
- Nov 25, 2011
- 1,442
- 1,140
mmh sizani mana kabadilika sana jana mempgia simu sa 4 kapokea kasema amechoka akakata, nkapga zaid ya mara 6 hakupokea tena
Yanayokukuta nami yameshawahi kunikuta. Hawa watu hawaeleweki ndugu yangu. Hebu jaribu kutafuta namba nyingine halafu mpigie tuone.