Hapa nishaibiwa au niendelee kujifariji?

dogo soma,,,,,madem wa chuo ni pasua kichwa.....uko chuo kwa ajili ya kuelimika sio kusimamisha ukuni,,, pumbafu wewe.....soma kwanza.....mwenzio huko anaulilia ukuni wa aina ingine,,, wewe unambwela mbwela hapa....
 
Mkuu
Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu hapa Morogoro(SUA) nina mpenzi wangu ambaye naye yupo chuo kikuu Moshi (Mweka), lakini tangu aende chuo nimekua simuelewi kabisa.

Nikipiga simu anasema amechoka wakati zamani alikuwa anapiga hadi saa 7, sms nikituma hajibu nisipoanza hata anitafuti lakini nampenda sana.

Naombeni ushauri nifanye nini ili penzi letu lisivunjike?
Mkuu hiyo idd! pole yako
 
Mkuu kuna mtu anakusaidia kumega hapo.... Nakumbuka nliwah kumtenda dem mmoja kwa kutumia sababu hzohzo ulizoztaja... Nlimtenda kwa tabia zake za kunigeuza Red Cross ya familia yao
 
Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu hapa Morogoro(SUA) nina mpenzi wangu ambaye naye yupo chuo kikuu Moshi (Mweka), lakini tangu aende chuo nimekua simuelewi kabisa.

Nikipiga simu anasema amechoka wakati zamani alikuwa anapiga hadi saa 7, sms nikituma hajibu nisipoanza hata anitafuti lakini nampenda sana.

Naombeni ushauri nifanye nini ili penzi letu lisivunjike?
Penzi lipi tena hapo Mkuu? Kusoma huju, hata picha huoni?
 
Back
Top Bottom