Mtaule mgunda
Senior Member
- Jan 25, 2014
- 193
- 61
yaaaNdondocha mkuu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yaaaNdondocha mkuu!
nashukuru mkuuJipende mwenyewe. piga pamba za nguvu msosi mzuri jenga nyumba yako nzuuur. achana nae asikubabaishe
lakini hayo ya pesa sio mapenziKo Kwavile hana mazoea ya kukuomba pesa basi na wewe ndo uache kumpa? Na ilhali unajua kabsaa kuwa hajapata boom wala mkopo!! Haya ingekuwa Mimi nngekuona wa kazi Gan,, Jiongeze mkuu.. Kwani ulimpa akakataa? Wanawake wengine hawapendi kuomba omba. Onyesha unajali hayo Ndyo mapenzi..
asante,nlshafanya maamuzUkiona manyoya ujue.... fanya yako mkuu kwan shilng ngapi mbona wapo wengi kuliko sie but all in all soma kwanza usije pata vimeo
now wanataka pesa mbeleDah! Nikikumbuka enzi za chuo lazima uwe na ki demu cha first year kabla hakija janjaruka dah! aisee ilikua raha sana
Sasa ndugu yangu wewe badala yaHabari zenu. Nimefanya mapenz katika siku za hatari ila jamaa alimwaga nje sasa ni wiki imepita naskia tumbo linauma na chuchu zinauma ingawa matiti hayajavimba. Je inaweza ikawa ni mimba?
Mimi nakushauri uache moyo ufanye kazi moja tu ya kisukuma damu na hayo mambo mengine tupa mbali. Na hii itakuepusha na pepo Wa kujinyonga na kingine soma kwanza upate hela, mbunye zitakuja zenyewe. Saasawa kijana?Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu hapa Morogoro(SUA) nina mpenzi wangu ambaye naye yupo chuo kikuu Moshi (Mweka), lakini tangu aende chuo nimekua simuelewi kabisa.
Nikipiga simu anasema amechoka wakati zamani alikuwa anapiga hadi saa 7, sms nikituma hajibu nisipoanza hata anitafuti lakini nampenda sana.
Naombeni ushauri nifanye nini ili penzi letu lisivunjike?
Kwa style hiyo utabaki kuwa ndondocha daima!daa kiukweli yeye hajapata mkopo wala bum na mimi nmepata lakini hana mazoea ya kuniomba pesa
dume suruali?Pale unapokuwa dume suruali lazima vitu kama hivi vitokee
sawa mkuuMademu ndo walivyo...wengine tunatoa kila mwisho wa mwezi hela ya kusuka na mambo mengine ,vocha tunajaza kila baada ya siku 3-4 anaunga bando la chuo lakini unaweza piga simu asipokee au akasema alilalala au kachoka hajisikii kuchati lakini sms za vocha utasikia`boo/mume naomba nitumie``lakini tunatulia sembuse wewe ambaye hata mia hutoi?
Chakufanya nawewe punguza kabisa mazoea na yeye siku zingine usitume sms wala kumpigia km anakupenda ataanza kuona Nawewe umebadilika tofauti na hapo utajitesa hata kujiua utafikiria
naweza kukubali kidogoHuyo lazima anamtu tena mwanachuo na kabadirika
Kama unampenda sana chukulia easy na kupeana kama break kwa kusalimiana mara chache kwa wiki ili kutunza ukaribu
Otherwize kachagua maisha mengine
mmmmmh pesa??Chuo sio kujifunza tu kusoma vitabu, tunajifunza general life, Enzi zile sa sekondari kupendwa kisa handsome boy sijui umepiga kiduku zimeisha....Tuma pesa utatafutwa tu
Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu hapa Morogoro(SUA) nina mpenzi wangu ambaye naye yupo chuo kikuu Moshi (Mweka), lakini tangu aende chuo nimekua simuelewi kabisa.
Nikipiga simu anasema amechoka wakati zamani alikuwa anapiga hadi saa 7, sms nikituma hajibu nisipoanza hata anitafuti lakini nampenda sana.
Naombeni ushauri nifanye nini ili penzi letu lisivunjike?
sawa nakubaliNasema hivii wewe piga kazi tuu.