Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sawaaUkiona manyoya...... ....
Mkuu jipange upya
kvp kkPiga window chini mkuu
ushauri huna?Unalalamika nini wakati unajiita ndondocha mkuu? Hiyo ndio tafsiri yake
nashukuru sanaa,nmekuelewaSomo ndugu yangu, fikiria hata jinsi ya kuishi mtaani baada ya shule. Chukulia mapenzi kitu cha kawaida acha kupendapenda ovyo ww bado ni kijana mdg, tafuta tu msichana wa kufarijiana hapo SUA.
Mkuu nimesoma comment zote ila yakwako Ndio imeshiba ushauri mujarabu naamini akiufata huu hata jutia...Kijana pole sana...Bado una imani na love in long distance.kumuamini huyu msichana ni sawa na mzazi ama mlezi amiin mtoto wake kupangiwa kidato cha tano na sita bila mchepuo au combination.usipo kuwa makini utakosa vitu vitatu elimu,pesa zako na huyo binti.Hapo fanya maauzi umkose huyo binti ili upate pesa na elimu yako......
nakubaliMkuu nimesoma comment zote ila yakwako Ndio imeshiba ushauri mujarabu naamini akiufata huu hata jutia...
sawaKuwa mjinga uendelee kuumia. Hii ndio njia pekee ya kunusuru penzi lenu.
nakubalikakuachia manyoya huyo kiongozi
mkuu updates nilitoa kwenye uzi huu Mrejesho,hapa nishaibiwa au niendelee kujifarijiMkuu umenikumbusha mbali Sana, anyway pole Sana, tupe updates basi.
kweliMaisha ya chuo hayapo real kabisa. Watu wanaishi maisha ambayo sio yao. What happens after chuo...thats real.
haha,nilishakubali yaishehuku Mkuu baridi labda ndo manyoya, mimi nipo huku huku Mweka Kibosho funguka usaidiwe Mkuu