Hapa nishaibiwa au niendelee kujifariji?

Tuma hela za kutosha kufanya penzi lenu lisife, no one is strong against money and remember women are very weak for money.

Usitume sms, tuma hela atakutumia sms yeye mwenyewe.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
kiukweli nampenda sana

Na ndo hicho kilichokuponza.Uombe kupendwa,usiombe kupenda.Huyo unayemfukuzia na yeye anawafukuzia wengine.Af, bado huna mpango nae unataka wa kupunguzia uzito tu.Ni vyema uriwaindi akili zako,uangalie mwanamke aliyekupenda gegedana na huyo.Huyu unayehangaika nae hana time na wewe.Na jibu unalo tu sema bado unatapatapa. Naona hujawahi kuumizwa na mwanamke,mpaka uape kutopenda tena uwe unajishughulisha na dada poa.
 
dada poa?? ndugu ushauri gani huu
 
Wazo tu.Sasa ya nini uhangaike na mtu ambaye haoni umhimu wako? Bungurusi litaendelea kutamani mzigo,huyo umpe hata 1M atakuona zuzu tu,sasa si bora akatoe buku 5 akamalize shida zake?! Kumbuka,hata papuchi ya huyo anaemuumiza kichwa ni sawa tu na ya dada poa
duuuu,,kk hatar
 
siku hizi kaka yangu hayapo mapenzi ya dhati kama wapo wenye mapenzi ya dhati kwenye 100 utakuta mmoja ama wawili
mi nakushauri piga kitabu usimfilikie tena huyo atakupasua kichwa bure kipindi hujampata yeye ulikuwa unaishi je? fikilia maisha yako ya baadaye asije akakupotezea mwelekeo wa maisha.
 
Attachments

  • BADUU 20161021_000605.jpg
    BADUU 20161021_000605.jpg
    22.7 KB · Views: 45
siku hizi kaka yangu hayapo mapenzi ya dhati kama wapo wenye mapenzi ya dhati kwenye 100 utakuta mmoja ama wawili
mi nakushauri piga kitabu usimfilikie tena huyo atakupasua kichwa bure kipindi hujampata yeye ulikuwa unaishi je? fikilia maisha yako ya baadaye asije akakupotezea mwelekeo wa maisha.
asante
 
fimbo ya mbali haiui nyoka akikupotezea na ww mpotezee itakua kuna jamaa 2 amekaba nafas subiri mmalize chuo uone kama ajarud mwenyew
 
Back
Top Bottom