Hapa nishaibiwa au niendelee kujifariji?

Hapa nishaibiwa au niendelee kujifariji?

Ko Kwavile hana mazoea ya kukuomba pesa basi na wewe ndo uache kumpa? Na ilhali unajua kabsaa kuwa hajapata boom wala mkopo!! Haya ingekuwa Mimi nngekuona wa kazi Gan,, Jiongeze mkuu.. Kwani ulimpa akakataa? Wanawake wengine hawapendi kuomba omba. Onyesha unajali hayo Ndyo mapenzi..
lakini hayo ya pesa sio mapenzi
Ukiona manyoya ujue.... fanya yako mkuu kwan shilng ngapi mbona wapo wengi kuliko sie but all in all soma kwanza usije pata vimeo
asante,nlshafanya maamuz
 
Hilo jina la kwenye avatar yako ni la kwako kweli Bro? Wenzio huwa tunaweka ya Uongo........
 
Mademu hawajielewi kabisa BT. Pole sana Hata Mimi yananikuta kama yako lakini cha msingi we usimtamkie Neno lolote Baya Means mpotezee Dhen cku ukiwa na Mzuka naye Mpigie alafu unakusha Coz Amekutana na wengine zaidi yako
 
Habari zenu. Nimefanya mapenz katika siku za hatari ila jamaa alimwaga nje sasa ni wiki imepita naskia tumbo linauma na chuchu zinauma ingawa matiti hayajavimba. Je inaweza ikawa ni mimba?
Sasa ndugu yangu wewe badala ya
Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu hapa Morogoro(SUA) nina mpenzi wangu ambaye naye yupo chuo kikuu Moshi (Mweka), lakini tangu aende chuo nimekua simuelewi kabisa.

Nikipiga simu anasema amechoka wakati zamani alikuwa anapiga hadi saa 7, sms nikituma hajibu nisipoanza hata anitafuti lakini nampenda sana.

Naombeni ushauri nifanye nini ili penzi letu lisivunjike?
Mimi nakushauri uache moyo ufanye kazi moja tu ya kisukuma damu na hayo mambo mengine tupa mbali. Na hii itakuepusha na pepo Wa kujinyonga na kingine soma kwanza upate hela, mbunye zitakuja zenyewe. Saasawa kijana?
 
Mademu ndo walivyo...wengine tunatoa kila mwisho wa mwezi hela ya kusuka na mambo mengine ,vocha tunajaza kila baada ya siku 3-4 anaunga bando la chuo lakini unaweza piga simu asipokee au akasema alilalala au kachoka hajisikii kuchati lakini sms za vocha utasikia`boo/mume naomba nitumie``lakini tunatulia sembuse wewe ambaye hata mia hutoi?
Chakufanya nawewe punguza kabisa mazoea na yeye siku zingine usitume sms wala kumpigia km anakupenda ataanza kuona Nawewe umebadilika tofauti na hapo utajitesa hata kujiua utafikiria
 
sawa mkuu
 
Huyo lazima anamtu tena mwanachuo na kabadirika
Kama unampenda sana chukulia easy na kupeana kama break kwa kusalimiana mara chache kwa wiki ili kutunza ukaribu
Otherwize kachagua maisha mengine
 
shu
Huyo lazima anamtu tena mwanachuo na kabadirika
Kama unampenda sana chukulia easy na kupeana kama break kwa kusalimiana mara chache kwa wiki ili kutunza ukaribu
Otherwize kachagua maisha mengine
naweza kukubali kidogo
 
Duh msomi mzima unashindwa kung'amua kuwa zama zako zimekwisha... Eti unampenda sana! Acha nae kabisa kabla hujafikia uamuzi wa kujitundika.. Mkiambiwa hawa wenzetu ni mashetani hamuamini
 
Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu hapa Morogoro(SUA) nina mpenzi wangu ambaye naye yupo chuo kikuu Moshi (Mweka), lakini tangu aende chuo nimekua simuelewi kabisa.

Nikipiga simu anasema amechoka wakati zamani alikuwa anapiga hadi saa 7, sms nikituma hajibu nisipoanza hata anitafuti lakini nampenda sana.

Naombeni ushauri nifanye nini ili penzi letu lisivunjike?

Nasema hivii wewe piga kazi tuu.
 
Mwanzo alikuwa hasomi hivyo alikuwa na mda mwingi wa kuchat saiz masomo yanamchosha. Just mwelewe na usifikiri ana mtu mwingine. Maana ingekuwa hivyo hata kuchat na ww asingeweza
 
Back
Top Bottom