Mkuu umesahau kuwa ni mwanaume kutoka dasilamu
Ila we jamaa mdebwedo sana aisee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaani maji mafupi hayo unashindwa kukunja sarawili yako utembee mwenyewe kweli mwanaume mzima unapakatwa?!
Hivi unajiskiaje kubebwa na mwanaume mwenzio mgongoni kama mwali[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app