Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Kwakua majibu ya ripoti yamekua na utata kidogo, ni vyema sampuli za maji ya mto mara zifanyiwe uchunguzi wa maabara upya.
Sidhani kama swala la kuchunguza maji lilihitaji kuunda tume. Analysis za maji ni kitu kidogo sana. Anyway ningekua ni mimi ningechukua sampuli za maji na kuzipeleka kwenye hizo maabara nilizotaja.
Maabara tunazo za kutosha, tunaweza peleka sampuli zetu huko. Kisha tulinganishe majibu.
Kama samaki wanakufa basi hayo maji sii salama kwa matumizi ya wanyama na binadamu. Hata kama binadamu hawawezi kudhulika leo huko mbeleni wanaweza kudhulika hata kwa magonjwa ya kansa.
Mimi nitaomba nijikite kwenye uwepo wa mafuta kwenye maji. Sina hakika kama mafuta yanaweza kupelekea samaki kufa. May be kuna vitu vingine tofauti na mafuta. Ndio maana kiukweli nashauri maji yapimwe upya kwenye hizo maabara.
Ili kuokoa viumbe wengine kwenye hayo maji ni vyema hili swala lichukuliwe kwa uzito wake.