Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Kuja kwa Makamu huyu wa Marekani inatufanya tuwe njia Panda. Hawa wamarekani tunawachukia sana. Makafiri. Sasa tuseme nini?
Rais aliyeko madarakani si kafir. Sasa hapo tunashindwa mpongeza na tunashindwa mkosoa. Maana ni taabu juu ya taabu. Na hawa wamarekani si wanaunga mkono ushoga? Huyu anakuja tena kipindi hiki za Kwaresma na Ramadhan. Maana yake nini?
Kwa kweli tumechanganyikiwa.