Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Ni tatizo, tena kubwa kuliko unavyofikilia, kama imefika maala hela inaingia nchini kuendesha semina za vijana wanaotaka kujiunga na ushoga bado unasema sio tatizo na swali la kujiuliza Marekani inafaidikaje na hao mashoga mpaka ikaanza kuwaratibu.Afrika mna matatizo mengi sana ambayo yana wasumbua kila leo kuliko hata hilo la ushoga!!ila kwakuwa ni watu wa kudakia mambo tu,ndio mnaliona ni tatizo kubwa sana kuliko mengine yote
Hayo mambo hayajaanza leo,toka enzi za kikwete yalikuwepo,sasa juzi eti baada ya KENYA,kuruhusu haki ya kuunda vikundi ndio kama leo ndio limeingia Africa!!???Afrika tuna matatizo mengi sana hasa rushwa na ufisadi ambayo ndio yanatupelekea kwenye wimbi la umasikini,hata mlo wa siku ni tabu,tupigane nayo kwanza haya,hilo la ushoga sawa nalo tunaweza lisemea lakini sio kwa kiwango hicho,.Kwani kipindi cha jpm aliponyimwa pesa na WB, kutokana na kiwazuia watoto wa kike waliopata mimba kurudi shule, wakabadirisha kibao eti sharti la mkopo wanataka turuhusu USHOGA!!Ni tatizo, tena kubwa kuliko unavyofikilia, kama imefika maala hela inaingia nchini kuendesha semina za vijana wanaotaka kujiunga na ushoga bado unasema sio tatizo na swali la kujiuliza Marekani inafaidikaje na hao mashoga mpaka ikaanza kuwaratibu.
Nakushauri umwone Mwakyembe akupe takwimu ili ujue nini kinaendelea nchini, kulazimisha watu wawe mashoga sio sawa hata kama ni mmoja.Hayo mambo hayajaanza leo,toka enzi za kikwete yalikuwepo,sasa juzi eti baada ya KENYA,kuruhusu haki ya kuunda vikundi ndio kama leo ndio limeingia Africa!!???Afrika tuna matatizo mengi sana hasa rushwa na ufisadi ambayo ndio yanatupelekea kwenye wimbi la umasikini,hata mlo wa siku ni tabu,tupigane nayo kwanza haya,hilo la ushoga sawa nalo tunaweza lisemea lakini sio kwa kiwango hicho,.Kwani kipindi cha jpm aliponyimwa pesa na WB, kutokana na kiwazuia watoto wa kike waliopata mimba kurudi shule, wakabadirisha kibao eti sharti la mkopo wanataka turuhusu USHOGA!!
I got you bro,mfano mm Ni mkristo,ushauri mzuri wa sheikh siwez udharau kisa kauto sheikh,nimekupata,sisi Ni sehem ya dunia,lazma tukubali kutendewa tunayoyapenda na tusiyoyapenda,Na utachanganyikiwa mno mkuu!
Maana umeshindwa kutambua kwamba duniani ni sehemu pa kuchujwa na kuchuja
Mema chukua, maovu acha!
Hauwezi kuudharau ushauri mzuri uliotoka kwa mtenda maovu kisa tu wewe si mtenda dhambi!
Tutachukua kizuri cha aina yoyote kwa mtu yeyote, awe kafiri ama siye ila uovu wao tutautupa kule!
Tanzania hatujahama Duniani, ikitokea tumehama, hatutachangamana tena na mashoga! Cha msingi kwa sasa ni sisi kutumia nguvu zote kuupinga ushoga kwa hali na mali!