Hapa sijapigwa tukio kweli?

pole...
 
Cha peke yako ni kaburi tuu Kaka!!
 
Hiyo ya mwanaJF kuwa overthinker sio wote...
Lakini mtu anaweza kuwa overthinker sababu ya tabia za mtu,kama mleta mada labda mwenzake ana mambo mengi
 
wala hakuna tukio. Yaani ulikuwa unamchosha na mazungumzo yako alipopata mwanya tu akaamua azime simu asisikilize tena ujinga wako.

Jitahidi kuwa na mazungumzo yanayovutia unapochati na mwenzio acha kuuliza uliza mwaswali. Uekula, utalala saa ngapi, niambie, nipe story n.k
 
Kizuri Kula na nduguyo

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Utoto unakusumbua
 
Uko sahihi mkuu nilituma gazeti ila hii asubuhi amenipigia anadai ilikuwa shda ya network so alizima cm kwa muda ili aiwashe tena ndio kupitiwa na usingizi ila kwa hili la magazeti itabidi nibadilike niko hvyo
Bado mtoto ni haki yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…