Hapa sijapigwa tukio kweli?

Hapa sijapigwa tukio kweli?

Habarini za asubuhi,

Jana usiku nilikuwa nachat WhatsApp na mwenzangu, wakati tunaendelea nikamuga kidogo niende washroom one time mida kama tano kasoro narudi tuendelee na mazungumzo ndio hakupatikana tena.

Maswali niliyojiuliza kama ishu ni chaji kwanini asingebust simu akanijulisha?

Hapo hapo nikawa na swali jingine, kama ni chaji huwa unajua kuwa hapa sitoboi kwanini hakunijulisha pia mapema kuwa labda hatuna umeme na chaji inaweza kuniishia muda wowote, ili angalau niwe na la kujifariji.?

Wasiwasi umezidi zaidi baada ya kukuta msg zangu zimepokelewa saa 9 usiku, najiuliza tu kulikuww na haja gani ya kuwasha simu mida hiyo?

Wekeni michango yenu maana michango yenu ndio itanisaidia kufanikisha shughuhuli yangu
pole...
 
Hapo nakataa.

Overthinking ni weakness ya mtu tu wala haihusiani na JF. Ni personality disorder. Moja ya dalili za mtu asiejiamini.

And mostly ukiona mtu kama huyu mleta mada anaanza ku overthink kwenye hiyo situation ujue ndio jinsi yeye huwa anafanya akiwa na makandokando yake so anataka akili yake inamtuma ku relate.
Hiyo ya mwanaJF kuwa overthinker sio wote...
Lakini mtu anaweza kuwa overthinker sababu ya tabia za mtu,kama mleta mada labda mwenzake ana mambo mengi
 
wala hakuna tukio. Yaani ulikuwa unamchosha na mazungumzo yako alipopata mwanya tu akaamua azime simu asisikilize tena ujinga wako.

Jitahidi kuwa na mazungumzo yanayovutia unapochati na mwenzio acha kuuliza uliza mwaswali. Uekula, utalala saa ngapi, niambie, nipe story n.k
 
Habarini za asubuhi,

Jana usiku nilikuwa nachat WhatsApp na mwenzangu, wakati tunaendelea nikamuga kidogo niende washroom one time mida kama tano kasoro narudi tuendelee na mazungumzo ndio hakupatikana tena.

Maswali niliyojiuliza kama ishu ni chaji kwanini asingebust simu akanijulisha?

Hapo hapo nikawa na swali jingine, kama ni chaji huwa unajua kuwa hapa sitoboi kwanini hakunijulisha pia mapema kuwa labda hatuna umeme na chaji inaweza kuniishia muda wowote, ili angalau niwe na la kujifariji.?

Wasiwasi umezidi zaidi baada ya kukuta msg zangu zimepokelewa saa 9 usiku, najiuliza tu kulikuww na haja gani ya kuwasha simu mida hiyo?

Wekeni michango yenu maana michango yenu ndio itanisaidia kufanikisha shughuhuli yangu
Kizuri Kula na nduguyo

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Habarini za asubuhi,

Jana usiku nilikuwa nachat WhatsApp na mwenzangu, wakati tunaendelea nikamuga kidogo niende washroom one time mida kama tano kasoro narudi tuendelee na mazungumzo ndio hakupatikana tena.

Maswali niliyojiuliza kama ishu ni chaji kwanini asingebust simu akanijulisha?

Hapo hapo nikawa na swali jingine, kama ni chaji huwa unajua kuwa hapa sitoboi kwanini hakunijulisha pia mapema kuwa labda hatuna umeme na chaji inaweza kuniishia muda wowote, ili angalau niwe na la kujifariji.?

Wasiwasi umezidi zaidi baada ya kukuta msg zangu zimepokelewa saa 9 usiku, najiuliza tu kulikuww na haja gani ya kuwasha simu mida hiyo?

Wekeni michango yenu maana michango yenu ndio itanisaidia kufanikisha shughuhuli yangu
Utoto unakusumbua
 
Back
Top Bottom