Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna wengine hawawaamini wenza wao kwa sababu ya waliyopitia huko walikotoka. Wanawavisha wenza wao wapya tabia za ma-EX wao..!!ni kutkuaminiana tu kutokana na tabia zetu
pole...Habarini za asubuhi,
Jana usiku nilikuwa nachat WhatsApp na mwenzangu, wakati tunaendelea nikamuga kidogo niende washroom one time mida kama tano kasoro narudi tuendelee na mazungumzo ndio hakupatikana tena.
Maswali niliyojiuliza kama ishu ni chaji kwanini asingebust simu akanijulisha?
Hapo hapo nikawa na swali jingine, kama ni chaji huwa unajua kuwa hapa sitoboi kwanini hakunijulisha pia mapema kuwa labda hatuna umeme na chaji inaweza kuniishia muda wowote, ili angalau niwe na la kujifariji.?
Wasiwasi umezidi zaidi baada ya kukuta msg zangu zimepokelewa saa 9 usiku, najiuliza tu kulikuww na haja gani ya kuwasha simu mida hiyo?
Wekeni michango yenu maana michango yenu ndio itanisaidia kufanikisha shughuhuli yangu
Hiyo ya mwanaJF kuwa overthinker sio wote...Hapo nakataa.
Overthinking ni weakness ya mtu tu wala haihusiani na JF. Ni personality disorder. Moja ya dalili za mtu asiejiamini.
And mostly ukiona mtu kama huyu mleta mada anaanza ku overthink kwenye hiyo situation ujue ndio jinsi yeye huwa anafanya akiwa na makandokando yake so anataka akili yake inamtuma ku relate.
Yah uko sahihi mkuuKuna wengine hawawaamini wenza wao kwa sababu ya waliyopitia huko walikotoka. Wanawavisha wenza wao wapya tabia za ma-EX wao..!!
Au yeye mleta mada ana mambo mengi so anahisi na mwenzake yupo kama yeye.Hiyo ya mwanaJF kuwa overthinker sio wote...
Lakini mtu anaweza kuwa overthinker sababu ya tabia za mtu,kama mleta mada labda mwenzake ana mambo mengi
Inawezekana piaAu yeye mleta mada ana mambo mengi so anahisi na mwenzake yupo kama yeye.
Kizuri Kula na nduguyoHabarini za asubuhi,
Jana usiku nilikuwa nachat WhatsApp na mwenzangu, wakati tunaendelea nikamuga kidogo niende washroom one time mida kama tano kasoro narudi tuendelee na mazungumzo ndio hakupatikana tena.
Maswali niliyojiuliza kama ishu ni chaji kwanini asingebust simu akanijulisha?
Hapo hapo nikawa na swali jingine, kama ni chaji huwa unajua kuwa hapa sitoboi kwanini hakunijulisha pia mapema kuwa labda hatuna umeme na chaji inaweza kuniishia muda wowote, ili angalau niwe na la kujifariji.?
Wasiwasi umezidi zaidi baada ya kukuta msg zangu zimepokelewa saa 9 usiku, najiuliza tu kulikuww na haja gani ya kuwasha simu mida hiyo?
Wekeni michango yenu maana michango yenu ndio itanisaidia kufanikisha shughuhuli yangu
Utoto unakusumbuaHabarini za asubuhi,

Bado mtoto ni haki yakoUko sahihi mkuu nilituma gazeti ila hii asubuhi amenipigia anadai ilikuwa shda ya network so alizima cm kwa muda ili aiwashe tena ndio kupitiwa na usingizi ila kwa hili la magazeti itabidi nibadilike niko hvyo